kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€π€π€π€π€π€£πππ€£π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€π€π€π€π€π€£πππ€£π
πππππ€£π€£π€£π€£ππBabu nae apewe!
Aisee au nin yey jusi kaanzisha Uzi kuwa haweZi kuolewaa na kijana asiyekuwa na helaNdoa imefanyikia taboraView attachment 2463473
Na bang anazofutishwa na Adam mchomvu aache kbsaa amlee mhHuyu mammy sasa aache kuvaa bikini na vipedo, kawa mke wa kiongozi. Afanye ku maintain status ya mheshimiwa lol
Hongera zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alfu juzi tu nilimkumbuka kapuyaKapuya Alikuwepo Hapo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni Kweli mkuu ila huyu kaniacha mbali kidgo [emoji41]Nyie wote si madokta[emoji23] wewe na Abbas
Kumsoma huyo shoga Ni Kaz sanaKuna tatizo gani kwa mke wa mtu kuvaa bikini?
Na wewe umeiona vipi hiyo bikini wakati ni vazi la ndani? Au kuna kitu sijaelewa?
Subiri updates za keshoLete Maneno...
Kuhusu Zuhura Kama Naye Kalala Nayo.....
Sababu kubwa hao Maboss awaoni nje ya hao wanawake uliowataka. Tusiokuwa Maboss tunakula vzr sana ukiondoa Udomo ZegeHongera zake
Wanawake wanaofanya kazi za kuonekana kama media, u miss, music, waigizaji etc huwa wana bahati ya kuolewa na mabosi
Ameolewa na nani?Naona wamechangamka.
Zuhura Yunus naye naona ameolewa. Sherehe inafanyika leo Mlimani city