Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

Mbona mnaweka nusu nusu, hebubtupieni news za Zuhura Yunus
jamani vipi kuhusu zuhura yunus, yeye bado hajapata mwenza wa maisha ya ndoa? Hawa mastaa wawe wanakubali pia kuolewa na watu wasio maarufu, mbona wanapendeka? Wenyewe wanataka waolewe na mastaa wenzao tu. Itapendeza pia staa akaolewa na mtu asiye na umaarufu
 
Zuhura yunus amesha olewaaa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inatia matumaini kwa wadada ambao age imeenda wana kila kitu ila waume hawana ipo siku nao wataolewa
 
Wanawake wa kiislamu ni watumwa sana kwenye mahusiano. Yaani binti mzuri Mke wa tatu! Ptyuuu uzinzi na
Uchafu tuuu
 
Ile kauli mbiu ya clouds fm

"TUNAKUFUNGULIA DUNIA KUWA UNACHOTAKA"

Inaendelea kutimia ....

Angekuwa huko swekeni radio 5 Nani angemuona
 
Back
Top Bottom