johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Yeye ametoa ufafanuzi wa kitaalamu!Yote haya yamekuja kwa hisani ya JK ! Asante mzee JK, maana tulianza kudanganywa kwamba kila mbongo tayari ana kipato cha dola 3000 kwa mwaka!
Hii ndio kauli ya serikali!Sio zinasambazwa kwenye mitandao zimesemwa na JK nas sis tumemsikia vizur kabsa
Waziri alisemea wapi?Wote tunafahamu hivyo ila angetolea ufafanuzi kauli ya waziri wa fedha Dr mipango kuwa, serikali ya jiwe imefikia lengo la dira ya maendeleo limefikiwa kabla ya muda je alimanisha nini?
Unataka kumaanisha nini?Siku hizi ile methali inayosema muungwana akivuliwa nguo huchutama imebadilika.
Sasa muungwana akivuliwa nguo hukimbia kutafuta nguo nyingine, maana anaweza kuchutama muda mrefu bila msaada.
$1080 ... au hujaelewa alichosema Dr. Abbas?Wote tunafahamu hivyo ila angetolea ufafanuzi kauli ya waziri wa fedha Dr mipango kuwa, serikali ya jiwe imefikia lengo la dira ya maendeleo limefikiwa kabla ya muda je alimanisha nini?
Bungeni kabisa mkuu!Waziri alisemea wapi?
Nadhani wewe ndo hujaelewa nilichoandika soma upya tena!$1080 ... au hujaelewa alichosema Dr. Abbas?
Sasa yeye kama nani anabishana na JK? walioasisi hiyo vission 2025 (JK na BWM) wao waliweka target ya usd 3000 mpaka nchi itakapofikia middle economy. Abbas acha kujidharirisha.Hivyo amewataka watanzania kuachana na propaganda zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.
| ||
Preparation of the Tanzania Development Vision (TDV) 2025 started in 1994 and the Government finally launched the Vision in 1999. The gist of Vision 2025 is that, by 2025, Tanzania should have gone through an unprecedented economic transformation and development to achieve middle-income status; characterised by high levels of industrialisation, competitiveness, quality livelihood, rule of law and having in place an educated and pro-learning society. Specifically, the Tanzania Development Vision 2025 outlined the country's social, economic and political aspirations for the first quarter of the 21st century with an underlying drive to reaching the middle-income country (MIC) status, with a per capita income of USD 3,000 (in nominal terms) by 2025. Vision 2025 was designed to be implemented through a series of five year development plans. However, at the time the Vision 2025 was adopted, Tanzania embarked on far-reaching policy and institutional reforms, under the auspice of Highly Indepted Poor Countries (HIPC) for it to qualify for the debt relief initiative. In view of this, and with the help of the development partners, short and medium term Poverty Reduction Strategies (PRS) were adopted as a safety net for the poor, which in the absence of Five Year Development Plans, became the framework to implement the Vision. First came the three year PRS (2000-2003), followed by the first five year National Strategy for Growth and Reduction of Poverty (NSGRP/MKUKUTA, 2005-2010). MKUKUTA, though designed as an implementation strategy with broader outcomes, it fell short in terms of prioritisation of development issues and laying out specific strategic interventions to realize the objectives of Vision 2025. |