Dkt. Abbas: Dira ya maendeleo ya 2025 haina sehemu inayoonyesha pato la Nchi kuingia Uchumi wa Kati. WB ndio yenye vigezo vyake

Dkt. Abbas: Dira ya maendeleo ya 2025 haina sehemu inayoonyesha pato la Nchi kuingia Uchumi wa Kati. WB ndio yenye vigezo vyake

Yote haya yamekuja kwa hisani ya JK ! Asante mzee JK, maana tulianza kudanganywa kwamba kila mbongo tayari ana kipato cha dola 3000 kwa mwaka!
Aksante JK. Mimi nilikuwa ninakataa kwa kila mu-Tz kuwa na kipato cha wasitani wa dola 3,000 (zaidi ya T.Shs. million 6). Mimi mwenyewe ambaye ni "middle class person" kipato changu kwa siku ni wasitani wa T.Shs. 2000 (chini ya dola moja).
 
Siku hizi ile methali inayosema muungwana akivuliwa nguo huchutama imebadilika.
Sasa muungwana akivuliwa nguo hukimbia kutafuta nguo nyingine, maana anaweza kuchutama muda mrefu bila msaada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooh, kwahiyo anapiga riadha akiwa uchi kufuata nguo nyingine. Hahahaha
 
Watu wanachobishana hapa ni kuingia uchumi wa kati na Dira ya Maendeleo ya 2025.

Vigezo vya kuingia uchumi wa kati hutolewa na benki ya Dunia lakini dira ya maendeleo ya Taifa ya 2025 hutengenezwa na Taifa.

Mzee Kikwete katuweka wazi jana kuwa Dira Ya Maendeleo ya Taifa ya 2025 ni kuwa katika uchumi wa Kati lakini pato la wastani la kila mtanzania iwe USD 3000 lakini sasa hivi ni USD 1080. Bado tuko nyuma sana.

Wale waimba mapambio kuwa tumefikia malengo yetu kabla ya wakati tunawakumbusha kuwa sisi kama taifa bado sana kufikia malengo tuliojiwekea.

Ahsante Kikwete kwa kutufumbua macho.
 
DR Abbas hajamuelewa Jakaya

Wakati vision 2025 inawekwa na Mzee Mkapa 'pass mark' ya kufikia uchumi wa Kati ilikuwa Us 3,000.00

Mwaka huu WB wameshusha Pass mark hadi 1,080.00

Jk anataka tusipumbazwe na punguzo hilo sie tubaki na target yetu ya awali ya dola elf 3 ifikapo 2025

Povu za nini Dr Abbas

Jk hapendi kustukizwa kuongea kwa heshma yake alipaswa kujulishwa mapema nae aandae hotuba vizuri

Aliharibu makusudi na ndio sababu mwisho akasema kwa cheko la kebehi kama kawaida yake akisema kama vile hataki…'hii ndio gharama ya kunistukiza…kuongea…'
 
Watu waovu hawajifichi

JK mtu muungwana kabisa

Jk amesema kwenye mpangilio
1. Kuingia uchumi wa kati by 2025
2. Pia katika safari, by 2025 basi walau kipato kifikie usd 3500

Huu ni mpango wa kimaendeleo Tanzania...(DIRA) By 2025.

Sasa huyu anayeleta world bank ametokea wapi? Iwapo JK aliongelea dira yetu watanzania?
Amekosea na haya ndiyo matokeo ya masifu.
 
Kwahiyo abbas no mtaalamu kuliko wachumi waliopanga huo mpango ambao ni kina waziri mpango..
Je, unafahamu dr mpango alishakuwa mshauri wa rais mambo ya uchumi?
Na huyo Dr Mpango ndiye anayesemewa na Dr Abbas.

Upo hapo bwashee?!
 
Yaaani tusimsikilize Kikwete halafu ndo tumsikilize huyu dokta uchwara abasi???? Muimbaji wa mapambio ya kusifu na kuabudu????


Dr Abasi ni sehemu ya takataka zilizojikusanya kwenye uongozi wa juu wa Taifa
 
He is right ,Mpongo wa taifa una kile alichosema JK jana. Nchi kufikia uchumi wa kati ambao wastani wa kipato Cha mtanzania ni USD 3000.00 by 2025.
 
So ile 20/25 ya mpango wa maendeleo ya taifa tumepangiwa na WB?

Serikali ingetafta msemaji mwingine mwenye akili ana mwenye exposure, huyu jamaa ni mweupe kichwani sijawahi kuona.

Hawa ndio wale wasomi wa vyeti wa serikalini, wanaosoma wapate vyeti ili kupeleka waongeweze mishahara au wapande vyeo.

Hii nimeitoa kwenye website ya serikali
Tovuti Kuu ya Serikali: Dira 2025

​
​
Vision 2025​
​
Preparation of the Tanzania Development Vision (TDV) 2025 started in 1994 and the Government finally launched the Vision in 1999. The gist of Vision 2025 is that, by 2025, Tanzania should have gone through an unprecedented economic transformation and development to achieve middle-income status; characterised by high levels of industrialisation, competitiveness, quality livelihood, rule of law and having in place an educated and pro-learning society. Specifically, the Tanzania Development Vision 2025 outlined the country's social, economic and political aspirations for the first quarter of the 21st century with an underlying drive to reaching the middle-income country (MIC) status, with a per capita income of USD 3,000 (in nominal terms) by 2025.

Vision 2025 was designed to be implemented through a series of five year development plans. However, at the time the Vision 2025 was adopted, Tanzania embarked on far-reaching policy and institutional reforms, under the auspice of Highly Indepted Poor Countries (HIPC) for it to qualify for the debt relief initiative. In view of this, and with the help of the development partners, short and medium term Poverty Reduction Strategies (PRS) were adopted as a safety net for the poor, which in the absence of Five Year Development Plans, became the framework to implement the Vision. First came the three year PRS (2000-2003), followed by the first five year National Strategy for Growth and Reduction of Poverty (NSGRP/MKUKUTA, 2005-2010). MKUKUTA, though designed as an implementation strategy with broader outcomes, it fell short in terms of prioritisation of development issues and laying out specific strategic interventions to realize the objectives of Vision 2025.​
Safi kabisa. Na Prof. Wangwe ndiye alikuwa leader wa kamati iliyotayarisha dira hii. PhD zingine ni za kuandikiwa.
 
Dr Abas anabishana na maelezo haya yaliyoko kwenye tovuti ya serikali kwenye link hii hapa:https://www.tanzania.go.tz/home/pages/364

Nimechukua screenshot ya hiyo page hapa

Img-1596109318161.jpg
 
So ile 20/25 ya mpango wa maendeleo ya taifa tumepangiwa na WB?

Serikali ingetafta msemaji mwingine mwenye akili ana mwenye exposure, huyu jamaa ni mweupe kichwani sijawahi kuona.

Hawa ndio wale wasomi wa vyeti wa serikalini, wanaosoma wapate vyeti ili kupeleka waongeweze mishahara au wapande vyeo.

Hii nimeitoa kwenye website ya serikali
Tovuti Kuu ya Serikali: Dira 2025

​
​
Vision 2025​
​
Preparation of the Tanzania Development Vision (TDV) 2025 started in 1994 and the Government finally launched the Vision in 1999. The gist of Vision 2025 is that, by 2025, Tanzania should have gone through an unprecedented economic transformation and development to achieve middle-income status; characterised by high levels of industrialisation, competitiveness, quality livelihood, rule of law and having in place an educated and pro-learning society. Specifically, the Tanzania Development Vision 2025 outlined the country's social, economic and political aspirations for the first quarter of the 21st century with an underlying drive to reaching the middle-income country (MIC) status, with a per capita income of USD 3,000 (in nominal terms) by 2025.

Vision 2025 was designed to be implemented through a series of five year development plans. However, at the time the Vision 2025 was adopted, Tanzania embarked on far-reaching policy and institutional reforms, under the auspice of Highly Indepted Poor Countries (HIPC) for it to qualify for the debt relief initiative. In view of this, and with the help of the development partners, short and medium term Poverty Reduction Strategies (PRS) were adopted as a safety net for the poor, which in the absence of Five Year Development Plans, became the framework to implement the Vision. First came the three year PRS (2000-2003), followed by the first five year National Strategy for Growth and Reduction of Poverty (NSGRP/MKUKUTA, 2005-2010). MKUKUTA, though designed as an implementation strategy with broader outcomes, it fell short in terms of prioritisation of development issues and laying out specific strategic interventions to realize the objectives of Vision 2025.​
It seems tuna serikali isiyojua inafanya nini
 
Na huyo Dr Mpango ndiye anayesemewa na Dr Abbas.

Upo hapo bwashee?!
Sie tunaenda kauli ya rais ambae alikuwa kwenye utekelezaji.. huyo Abbas ni kama kasuku.
Hayo maneno akakae na kina stivu ake na mwijaku awaeleze ndio watamuelewa.
Sawa bwashee
 
Huyu Msemaji aache uwongo, hakuna propaganda za mitandaoni, hayo yamesemwa na JK jana na wa Tz wote tulimsikia na kumuelewa. Km n kutetea tumbo lake basi awe wazi sio kwa kuogopa. Khaaaaah
 
Back
Top Bottom