Dkt. Abbas: Dira ya maendeleo ya 2025 haina sehemu inayoonyesha pato la Nchi kuingia Uchumi wa Kati. WB ndio yenye vigezo vyake

Dkt. Abbas: Dira ya maendeleo ya 2025 haina sehemu inayoonyesha pato la Nchi kuingia Uchumi wa Kati. WB ndio yenye vigezo vyake

DR Abbas hajamuelewa Jakaya

Wakati vision 2025 inawekwa na Mzee Mkapa 'pass mark' ya kufikia uchumi wa Kati ilikuwa Us 3,000.00

Mwaka huu WB wameshusha Pass mark hadi 1,080.00

Jk anataka tusipumbazwe na punguzo hilo sie tubaki na target yetu ya awali ya dola elf 3 ifikapo 2025

Povu za nini Dr Abbas
Kuna Maelezo uko sahihi lkn mengine umeanza kutunga ni kwel rank za Wb zinabadilika Mara kwa Mara lkn Bahati mbaya Wb rank hazijawah kushushwa zaidi ya kupanda, by 2004 rank za middle income zilianzia USD 826-10065 I think hata hii dira wanalaunch rank zilikuwa hivyo!
 
Si muda tutasikia hao hao "wanaotupangia" wakija na vigezo tusivyovipenda sisi kina Abbas tutaanza kuwaponda na kuwaita "mabeberu"...... ......Utaambiwa kuna "vita ya kiuchumi"
 
Wote tunafahamu hivyo ila angetolea ufafanuzi kauli ya waziri wa fedha Dr. Mipango kuwa, serikali ya jiwe imefikia lengo la dira ya maendeleo limefikiwa kabla ya muda je alimanisha nini?
Akikujibu untag
 
Abbas naweza sema hana akili na mvivu kusoma..

Mpango wa maendeleo 2025 unataja kabisa kiwango taifa linatakiwa kufikia..

Amezoea vya kulamba
Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas ametolea ufafanuzi dhana ya uchumi wa kati kwa kusema katika Dira ya maendeleo ya 2025 hakuna sehemu inayoelezea pato la nchi kuingia uchumi wa kati.

Dkt. Abbas amesema Benki ya Dunia ndio huweka vigezo vya nchi kuingia katika ngazi hizo.

Hivyo amewataka watanzania kuachana na propaganda zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.

Dkt. Abbas ameyaweka hayo kwenye account yake ya twitter

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa Hiyo kwa Sababu WB wameweka vigezo / Goals basi nchi ndio zisiwe na Programs zake ili ziweze kufikia vigezo bya WB ?
 
JK alieleweka sana! JK alisema lengo lao lilikua by 2025 tuwe kwenye uchumi wa kati ambapo tufikie pato la $3000

Na akamtakia heri Magufuli kufikia hapo sasa shida ni nini?

Tafsiri ni kuwa hatujafikia bado lengo tulilojiwekea kama ambavyo makuwadi mnatuimbia.
Isikilize vizuri ile hotuba. Alisema tumefikia uchumi wa kati ila lengo lilikuwa by 2025 iwe $3000.
JK alisema "tumefikia " uchumi wa kati.
 
Huyu kenge sijui walimtoa wapi

Jk kawa Rais miaka 10.. hawa ndio wanaomtaka magufuli abadirishe katiba vitambi viote zaidi
Sasa yeye kama nani anabishana na JK? walioasisi hiyo vission 2025 (JK na BWM) wao waliweka target ya usd 3000 mpaka nchi itakapofikia middle economy. Abbas acha kujidharirisha.
 
Kwa hiyo nyumbu wa ufipa hili nalo wanahisi litawaongezea kura?

Kikwete hakuna mahala popote Lipojaribu kumnanga Jpm ila ni vile tu nyumbu wa ufipa wanatamani itokee hivyo!

Alafu JK ni ccm na atampigia Kampeni Magu siyo Lisu
 
Very good..[emoji111]
So ile 20/25 ya mpango wa maendeleo ya taifa tumepangiwa na WB?

Serikali ingetafta msemaji mwingine mwenye akili ana mwenye exposure, huyu jamaa ni mweupe kichwani sijawahi kuona.

Hawa ndio wale wasomi wa vyeti wa serikalini, wanaosoma wapate vyeti ili kupeleka waongeweze mishahara au wapande vyeo.

Hii nimeitoa kwenye website ya serikali
Tovuti Kuu ya Serikali: Dira 2025

​
​
Vision 2025​
​
Preparation of the Tanzania Development Vision (TDV) 2025 started in 1994 and the Government finally launched the Vision in 1999. The gist of Vision 2025 is that, by 2025, Tanzania should have gone through an unprecedented economic transformation and development to achieve middle-income status; characterised by high levels of industrialisation, competitiveness, quality livelihood, rule of law and having in place an educated and pro-learning society. Specifically, the Tanzania Development Vision 2025 outlined the country's social, economic and political aspirations for the first quarter of the 21st century with an underlying drive to reaching the middle-income country (MIC) status, with a per capita income of USD 3,000 (in nominal terms) by 2025.

Vision 2025 was designed to be implemented through a series of five year development plans. However, at the time the Vision 2025 was adopted, Tanzania embarked on far-reaching policy and institutional reforms, under the auspice of Highly Indepted Poor Countries (HIPC) for it to qualify for the debt relief initiative. In view of this, and with the help of the development partners, short and medium term Poverty Reduction Strategies (PRS) were adopted as a safety net for the poor, which in the absence of Five Year Development Plans, became the framework to implement the Vision. First came the three year PRS (2000-2003), followed by the first five year National Strategy for Growth and Reduction of Poverty (NSGRP/MKUKUTA, 2005-2010). MKUKUTA, though designed as an implementation strategy with broader outcomes, it fell short in terms of prioritisation of development issues and laying out specific strategic interventions to realize the objectives of Vision 2025.​
 
Isikilize vizuri ile hotuba. Alisema tumefikia uchumi wa kati ila lengo lilikuwa by 2025 iwe $3000.
JK alisema "tumefikia " uchumi wa kati.
We mpuuzi sana unabisha na kila mtu Alisikia? Lengo letu ilikua by 2025 tufikie pato la dola 3000 full stop!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Kwa hiyo nyumbu wa ufipa hili nalo wanahisi litawaongezea kura?

Kikwete hakuna mahala popote Lipojaribu kumnanga Jpm ila ni vile tu nyumbu wa ufipa wanatamani itokee hivyo!

Alafu JK ni ccm na atampigia Kampeni Magu siyo Lisu
Dagaa kauzu zimemaliza akili yako we fukara na maskini
 
Wameshajua 2025 uwezekano wa kufikia hio $3,000 haupo na hautakuwepo imebidi waanze kupiga propaganda mapema sana.

JK amemwaga mafuta ya taa shimoni sasa nyoka wameanza kujitokeza wakihaha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] JK kachomoa betri mataga wanahaha.
 
Upo sahihi, JK kaeleweka vizuri sana.


Hawa walamba viatu wa magufuli bure kabisa.. likitambi kubwa, kushinda anasikiliza udaku ..


JK alieleweka sana! JK alisema lengo lao lilikua by 2025 tuwe kwenye uchumi wa kati ambapo tufikie pato la $3000

Na akamtakia heri Magufuli kufikia hapo sasa shida ni nini?

Tafsiri ni kuwa hatujafikia bado lengo tulilojiwekea kama ambavyo makuwadi mnatuimbia.
 
Atupigie ukurasa wake , kuliko kutukia ukurasa wa serikali kuweka huu upotoshaji
Hajakurupuka. Anajua anachokifanya. Anatetea tumbo lake hata pale ambapo haina haja ya kutetea. Sisi kama nchi tuma malengo yetu. WB haiwezi kutuwekea malengo. Tunajiwekea malengo sisi wenyewe. Na ndicho alichokisema JK jana.
 
Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas ametolea ufafanuzi dhana ya uchumi wa kati kwa kusema katika Dira ya maendeleo ya 2025 hakuna sehemu inayoelezea pato la nchi kuingia uchumi wa kati.

Dkt. Abbas amesema Benki ya Dunia ndio huweka vigezo vya nchi kuingia katika ngazi hizo.

Hivyo amewataka watanzania kuachana na propaganda zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.

Dkt. Abbas ameyaweka hayo kwenye account yake ya twitter

Maendeleo hayana vyama!
Acha upuuzi mzee unapingana na wenye stake akina Jakaya siyo! Tafadhali msituletee uchonganishi na wazee wa nchi
 
Back
Top Bottom