Dkt. Abbas: Dira ya maendeleo ya 2025 haina sehemu inayoonyesha pato la Nchi kuingia Uchumi wa Kati. WB ndio yenye vigezo vyake

Dkt. Abbas: Dira ya maendeleo ya 2025 haina sehemu inayoonyesha pato la Nchi kuingia Uchumi wa Kati. WB ndio yenye vigezo vyake

So ile 20/25 ya mpango wa maendeleo ya taifa tumepangiwa na WB?

Serikali ingetafta msemaji mwingine mwenye akili ana mwenye exposure, huyu jamaa ni mweupe kichwani sijawahi kuona.

Hawa ndio wale wasomi wa vyeti wa serikalini, wanaosoma wapate vyeti ili kupeleka waongeweze mishahara au wapande vyeo.

Hii nimeitoa kwenye website ya serikali
Tovuti Kuu ya Serikali: Dira 2025

​
​
Vision 2025​
​
Preparation of the Tanzania Development Vision (TDV) 2025 started in 1994 and the Government finally launched the Vision in 1999. The gist of Vision 2025 is that, by 2025, Tanzania should have gone through an unprecedented economic transformation and development to achieve middle-income status; characterised by high levels of industrialisation, competitiveness, quality livelihood, rule of law and having in place an educated and pro-learning society. Specifically, the Tanzania Development Vision 2025 outlined the country's social, economic and political aspirations for the first quarter of the 21st century with an underlying drive to reaching the middle-income country (MIC) status, with a per capita income of USD 3,000 (in nominal terms) by 2025.

Vision 2025 was designed to be implemented through a series of five year development plans. However, at the time the Vision 2025 was adopted, Tanzania embarked on far-reaching policy and institutional reforms, under the auspice of Highly Indepted Poor Countries (HIPC) for it to qualify for the debt relief initiative. In view of this, and with the help of the development partners, short and medium term Poverty Reduction Strategies (PRS) were adopted as a safety net for the poor, which in the absence of Five Year Development Plans, became the framework to implement the Vision. First came the three year PRS (2000-2003), followed by the first five year National Strategy for Growth and Reduction of Poverty (NSGRP/MKUKUTA, 2005-2010). MKUKUTA, though designed as an implementation strategy with broader outcomes, it fell short in terms of prioritisation of development issues and laying out specific strategic interventions to realize the objectives of Vision 2025.​
Msemaji wa serikali anakuwa muimbaji kama Diamond au TOT?
Kuna watu wamepewa nafasi hadi unashangaa wamezipataje? Hana tofauti na yule wa Ikulu, Msigwa
 
WB wamesema kwa sababu ya takwimu, lakini hatuwezi kujisifia ka tulivyojisifia kumbe malengo tuliyojiwekea hatujafikia.
Mfano we lengo lako upate division one ukapata division three unafikiri NEC watasema umefeli? Sasa je hayo ndo malengo yako uliyokua umejiwekea?
Naona alichokisema ni kutukumbusha juu ya malengo ambayo kama nchi tulijiwekea ya kufikia. Tusishangilie ila tujitafakari ndo malengo tuliyokua tumejiwekea?
Ndiyo Ila hatujafikia lengo letu la USD 3000.00 bado tupo kwenye 1080 yaani ile kazi aliyoisifia magufuli kwamba tumeipiga ni ya kuongeza USD 100.00 kwa miaka mitano
Hilo Lengo letu ni by 2025, la kuingia uchumi wa Kati , figure hiyo ya USD 3000 sina maandishi yake ukiweza weka.
Sasa katika safari yetu ya uchumi wa Kati by 2025 tumeifikia 2020 , sio jambo jema???
Au hiyo C tumeipata ndani ya dkk 30 za mitihani wa masaa 3 bado tuna saa 2.30 kumaliza mtihani
 
Ni jambo jema!
 
Sasa yeye kama nani anabishana na JK? walioasisi hiyo vission 2025 (JK na BWM) wao waliweka target ya usd 3000 mpaka nchi itakapofikia middle economy. Abbas acha kujidharirisha.
Naona hapa mgongano wa PhD halali ya chuo na Udaktari wa chuo wa heshima ndio maana Mkapa na Nyerere walipuuza kuitwa dakta. Hata hivyo kama umeelewa alichosema Dakta Abbas ninkitu tofauti na alichosema JK Abbas amezungumzia masuala ya world bank na kigezo cha kuingia uchumi wa kati wakati kikwete amezungumzia Dira ya Taifa kufikia uchumi wa kati yaani malengo bila ya kujali kwamba kuingia uchumi wa kati unahitajiwa kupata kiasi gani.
 
JK kasema jambo moja tuu tena kwa lugha laini tayari wametahayari na kujitokeza kupambana utadhani kasema kwa kukomoa.
Hivi kweli kampeni zikianza wataziweza hawa watu? Watajibu mangapi kuficha uongo wao?
Kumbe hii ndio maana ya neno NJIA YA MUONGO NI FUPI
Uongo upi bwashee?!
 
Either way, Magufuli keshaingia kwenye historia ya kuiingiza Tz kwenye uchumi wa kati.. Wengi wataibuka zama hizi na kusogeza magoli ili ku undermine jitihada za Magufuli kwa kuwa Mungu aliwaficha mambo haya wao, akayawezesha nyakati hizi za Magufuli kwa hiyo usitegemee kuwaona wakifurahi sana.
Wengi walitamani sana mambo haya mazuri yatokee zama zao lakini hayakutokea... Kwa hiyo kajilas lazima kabuild up!
Hata Musa alipooneshwa mji wa Kaanan lakini akaambiwa kuwa si yeye bali Joshua ndiye angewaingiza Waisrael kwenye mji ule, usitegemee kuwa alifurahi.. Lazima tu atakuwa alisononeka.
Kadri population inavyoongezeka, kuingia uchumi wa kati inakuwa ni ngumu zaidi kwa vile unakuwa na denominator kubwa zaidi.. Kwa hiyo itoshe tu kuwaambia kina Zitto Kabwe kuwa, ilikuwa ni rahisi zaidi kwa Tz kuingia uchumi wa kati kwenye awamu zilizopita wakati nchi ina population ndogo kuliko awamu hii ambayo ina population (denominator) kubwa!
Kazi kubwa imefanyika na kazi kubwa zaidi itafanyika kwenye ngwe ya pili kwa kuwa sasa serikali ya awamu ya tano imesimama kwenye misingi imara zaidi.
 
Naona JK kawachanganya

Kawa changanya nini? Sasa yeye kwa staili yake ya kwenda kuomba vyandarua USA huku akiacha dhahabu zikisombwa kama mchanga wa makanikia angaweza kufikia hata hiyo wanayo ikebehi ya 1080?
 
Either way, Magufuli keshaingia kwenye historia ya kuiingiza Tz kwenye uchumi wa kati.. Wengi wataibuka zama hizi na kusogeza magoli ili ku undermine jitihada za Magufuli kwa kuwa Mungu aliwaficha mambo haya wao, akayawezesha nyakati hizi za Magufuli kwa hiyo usitegemee kuwaona wakifurahi sana.
Wengi walitamani sana mambo haya mazuri yatokee zama zao lakini hayakutokea... Kwa hiyo kajilas lazima kabuild up!
Hata Musa alipooneshwa mji wa Kaanan lakini akaambiwa kuwa si yeye bali Joshua ndiye angewaingiza Waisrael kwenye mji ule, usitegemee kuwa alifurahi.. Laxima tu atakuwa alisononeka.
Kadri population inavyoongezeka, kuingia uchumi wa kati inakuwa ni ngumu zaidi kwa vile unakuwa na denominator kubwa zaidi.. Kwa hiyo itoshe tu kuwaambia kina Zitto Kabwe kuwa, ilikuwa ni rahisi zaidi kwa Tz kuingia uchumi wa kati kwenye awamu zilizopita wakati nchi ina population ndogo kuliko awamu hii ambayo ina population (denominator) kubwa!
Nimekuelewa bwashee!
 
Tunajua Sana hiyo dira ya Taifa hata Kama haikutaja $3000 lakini kwa mgawanyo WA WB uchumi wakati Ni sawa na Jk
 
Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas ametolea ufafanuzi dhana ya uchumi wa kati kwa kusema katika Dira ya maendeleo ya 2025 hakuna sehemu inayoelezea pato la nchi kuingia uchumi wa kati.

Dkt. Abbas amesema Benki ya Dunia ndio huweka vigezo vya nchi kuingia katika ngazi hizo. Hivyo amewataka watanzania kuachana na propaganda zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.

Dkt. Abbas ameyaweka hayo kwenye account yake ya twitter

Maendeleo hayana vyama!
Ina maana anapingana na jk aliyekuwa serikalini wakati ikiandaliwa, wazungu wakiwaita wajinga mnasema ni wabaguzi kumbe ni ukweli. Hongera sana kocha aliyeulizwa timu ya waswahili
 
Ina maana anapingana na jk aliyekuwa serikalini wakati ikiandaliwa, wazungu wakiwaita wajinga mnasema ni wabaguzi kumbe ni ukweli. Hongera sana kocha aliyeulizwa timu ya waswahili
Wapi alipomtaja JK?!
 
Sasa yeye kama nani anabishana na JK? walioasisi hiyo vission 2025 (JK na BWM) wao waliweka target ya usd 3000 mpaka nchi itakapofikia middle economy. Abbas acha kujidharirisha.
Kwanza wakati BWM anaanda hiyo DIRA Abbasi alikuwa ndo kwanza anatambaa. Asiwabishie waliokuwapo.
 
Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas ametolea ufafanuzi dhana ya uchumi wa kati kwa kusema katika Dira ya maendeleo ya 2025 hakuna sehemu inayoelezea pato la nchi kuingia uchumi wa kati.

Dkt. Abbas amesema Benki ya Dunia ndio huweka vigezo vya nchi kuingia katika ngazi hizo. Hivyo amewataka watanzania kuachana na propaganda zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.

Dkt. Abbas ameyaweka hayo kwenye account yake ya twitter

Maendeleo hayana vyama!
Sasa Kama anaubavu SI a challenge hotuba ya JK anatuambia ss ili tufanyeje.Kama SI ndivyo atuthibitishie kwa takwimu Kama kweli tuko kwenye uchumi wa kati.Nilivyomsikia Amesema yy JK na BM ndo waliseti standards na hakusema WB kwa WB ni libenki la makaburu Nani analiamini kwa linapika sana data Hilo dude.
 
Back
Top Bottom