Dkt. Abbas: Dira ya maendeleo ya 2025 haina sehemu inayoonyesha pato la Nchi kuingia Uchumi wa Kati. WB ndio yenye vigezo vyake

Dkt. Abbas: Dira ya maendeleo ya 2025 haina sehemu inayoonyesha pato la Nchi kuingia Uchumi wa Kati. WB ndio yenye vigezo vyake

Mimi ndiyo maana serikali yote ya Magufuli nawaona ni wasanii na wapika propaganda na katu sitokaa niwaamini. Na ndiyo maana ndugu Abbas huwa namachana live kuwa nina mashaka sana na PhD yake. Hovyo kabisa.

Yani mkiendelea hivi mtakuja kuwakaanga watanzania kama alivyofanya Kibwetere! Ujinga gani huu? Yani JK aongee live mbele yao then wao leo wapige propaganda! Halafu hili jamaa kutwa kuingia kwenye mastudio kupika propaganda huwa tunamlipa kwa kazi hiyo? Mjinga sana huyu Abbas
 
Awamu hii ya "5 chini ya DktJPM" (kwa sauti ya DAB) Wanafanya ku exaggerate facts.
 
DR Abbas hajamuelewa Jakaya

Wakati vision 2025 inawekwa na Mzee Mkapa 'pass mark' ya kufikia uchumi wa Kati ilikuwa Us 3,000.00

Mwaka huu WB wameshusha Pass mark hadi 1,080.00

Jk anataka tusipumbazwe na punguzo hilo sie tubaki na target yetu ya awali ya dola elf 3 ifikapo 2025

Povu za nini Dr Abbas

Jk hapendi kustukizwa kuongea kwa heshma yake alipaswa kujulishwa mapema nae aandae hotuba vizuri

Aliharibu makusudi na ndio sababu mwisho akasema kwa cheko la kebehi kama kawaida yake akisema kama vile hataki…'hii ndio gharama ya kunistukiza…kuongea…'
😂😂😂😂😂😂 we jamaa umenichekesha sana. Halafu akamgeukia JPM akamuuliza vipi inatosha naweza kumaliza 😂😂😂😂😂😂
 
Mkuu JK ametuacha na kipato Cha USD 980.00 tulishindwaje kuingia wakati rank ni hiyo?nakuonea aibu sana
Muwe mnasoma nakuelewa msipende kukurupuka dira launched in 1999 na nimesema by 2004 rank zilikuwa 826-10065 and kikwete come in power 2005 then retired in 2015 so kipi kinakuchanganya mkuu?
 
Kinachonisikitisha ni kuishia kusema tumeingia kwenye uchumi wa kati bila kusema uchumi wa chini wa kati. Mnajua sana kuwaokota wa Tanzania lkn sio kipindi hiki cha utandawazi.
 
Hilo Lengo letu ni by 2025, la kuingia uchumi wa Kati , figure hiyo ya USD 3000 sina maandishi yake ukiweza weka.
Sasa katika safari yetu ya uchumi wa Kati by 2025 tumeifikia 2020 , sio jambo jema???
Au hiyo C tumeipata ndani ya dkk 30 za mitihani wa masaa 3 bado tuna saa 2.30 kumaliza mtihani
Ndio mseme vzuri uchumi wa chini wa kati sio kujisahaulisha makusudi kusema uchumi wa kati bila kutamka neno wa CHINI WA KATI
 
Unajua msemaji wa serikali Ni anabeba taswira zaidi ya serikali. Kwahyo anapojibu hoja au kutolea ufafanuzi hasa kwa masuala yanayohusu manufaa ya Taifa anatakiwa kuangalia anatolea ufafanuzi wa Jambo lipi, lipoje na limesemwa na Nani.

Lkn haya yote Ni kwa sababu ya Rais mstafu wa awamu ya nne JK Baada ya kusema tumeingia uchumi wa Kati lkn malengo yetu Hadi kufikia 2025 wastani wa Pato la kila mwananchi liwe tsh 3000 na sio 1080 ilivyo Sasa. Kwahyo safari bado ndefu ili kutimiza malengo hayo ifikapo 2025. Na ndio ukweli,

Kwahyo Msemaji ya Serikali asome VIZURI dira ya Maendeleo kufikia 2025 ipoje, tusibaki kubweteka zaidi
 
Ni $ 3000 siyo tsh 3000

Maendeleo hayana vyama!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa umenichekesha sana. Halafu akamgeukia JPM akamuuliza vipi inatosha naweza kumaliza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila HB (JK) jana alijua kulipua [emoji95],
 
Mimi ndiyo maana serikali yote ya Magufuli nawaona ni wasanii na wapika propaganda na katu sitokaa niwaamini. Na ndiyo maana ndugu Abbas huwa namachana live kuwa nina mashaka sana na PhD yake. Hovyo kabisa.

Yani mkiendelea hivi mtakuja kuwakaanga watanzania kama alivyofanya Kibwetere! Ujinga gani huu? Yani JK aongee live mbele yao then wao leo wapige propaganda! Halafu hili jamaa kutwa kuingia kwenye mastudio kupika propaganda huwa tunamlipa kwa kazi hiyo? Mjinga sana huyu Abbas
Mpaka weekend tutapata mrejesho ulio nyooka kwa sasa tutunze akiba ya maneno.
 
Inawezekana huyo bwana Abbas hata huo hiyo dira anayoizungumzia hajawahi kuisoma, ipo kwenye website za Serikali na Jakaya yupo sahihi
IMG_20200730_191156.jpg
 
Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas ametolea ufafanuzi dhana ya uchumi wa kati kwa kusema katika Dira ya maendeleo ya 2025 hakuna sehemu inayoelezea pato la nchi kuingia uchumi wa kati.

Dkt. Abbas amesema Benki ya Dunia ndio huweka vigezo vya nchi kuingia katika ngazi hizo. Hivyo amewataka watanzania kuachana na propaganda zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.

Dkt. Abbas ameyaweka hayo kwenye account yake ya twitter

Maendeleo hayana vyama!
Kazi nzuri sana imefanyika na inaendelea kufanyika
 
Iko siku tutaambiwa jua linalochomoza asubuhi limeletwa na awamu ya Tano ya Magufuli.
 
Daima nitamfurahia Mzee Mwinyi kwa kuwa akiongea hakubagazi wala kukuacha kwenye ukakasi,daima atakutakia kila lenye kheri.
 
Back
Top Bottom