Dkt. Abbas: Dira ya maendeleo ya 2025 haina sehemu inayoonyesha pato la Nchi kuingia Uchumi wa Kati. WB ndio yenye vigezo vyake

Dkt. Abbas: Dira ya maendeleo ya 2025 haina sehemu inayoonyesha pato la Nchi kuingia Uchumi wa Kati. WB ndio yenye vigezo vyake

Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas ametolea ufafanuzi dhana ya uchumi wa kati kwa kusema katika Dira ya maendeleo ya 2025 hakuna sehemu inayoelezea pato la nchi kuingia uchumi wa kati.

Dkt. Abbas amesema Benki ya Dunia ndio huweka vigezo vya nchi kuingia katika ngazi hizo. Hivyo amewataka watanzania kuachana na propaganda zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.

Dkt. Abbas ameyaweka hayo kwenye account yake ya twitter

Maendeleo hayana vyama!
Hizi za usemaji wa sirikali hazina tofauti na kuwa "ndula"..kazi yao siku zote ni kufuata amri bila kutafakari nini ulichoambiwa ukaseme au kina madhara gani....
 
😂😂😂😂😂😂 kichaa ndivyo alivyo Mkuu.

Siku hizi ile methali inayosema muungwana akivuliwa nguo huchutama imebadilika.
Sasa muungwana akivuliwa nguo hukimbia kutafuta nguo nyingine, maana anaweza kuchutama muda mrefu bila msaada.
 
Unaelewa maana ya utaalamu?

Unapoongelea utaalamu kwenye uchumi basi angetakiwa mtu mwenye elimu ya uchumi!

Je huyo msemaji ni mwana uchumi?

Kama sio kwanini unasema "ametoa ufafanuzi wa kitaalamu"?
Labda mimi msemaji wa serikali sijui kazi yake je nikongea yanayo ipenza serikali ama mambo halisia
 
Yote haya yamekuja kwa hisani ya JK ! Asante mzee JK, maana tulianza kudanganywa kwamba kila mbongo tayari ana kipato cha dola 3000 kwa mwaka!
1596129769339.png
 
So ile 20/25 ya mpango wa maendeleo ya taifa tumepangiwa na WB?

Serikali ingetafta msemaji mwingine mwenye akili ana mwenye exposure, huyu jamaa ni mweupe kichwani sijawahi kuona.

Hawa ndio wale wasomi wa vyeti wa serikalini, wanaosoma wapate vyeti ili kupeleka waongeweze mishahara au wapande vyeo.

Hii nimeitoa kwenye website ya serikali
Tovuti Kuu ya Serikali: Dira 2025

​
​
Vision 2025​
​
Preparation of the Tanzania Development Vision (TDV) 2025 started in 1994 and the Government finally launched the Vision in 1999. The gist of Vision 2025 is that, by 2025, Tanzania should have gone through an unprecedented economic transformation and development to achieve middle-income status; characterised by high levels of industrialisation, competitiveness, quality livelihood, rule of law and having in place an educated and pro-learning society. Specifically, the Tanzania Development Vision 2025 outlined the country's social, economic and political aspirations for the first quarter of the 21st century with an underlying drive to reaching the middle-income country (MIC) status, with a per capita income of USD 3,000 (in nominal terms) by 2025.

Vision 2025 was designed to be implemented through a series of five year development plans. However, at the time the Vision 2025 was adopted, Tanzania embarked on far-reaching policy and institutional reforms, under the auspice of Highly Indepted Poor Countries (HIPC) for it to qualify for the debt relief initiative. In view of this, and with the help of the development partners, short and medium term Poverty Reduction Strategies (PRS) were adopted as a safety net for the poor, which in the absence of Five Year Development Plans, became the framework to implement the Vision. First came the three year PRS (2000-2003), followed by the first five year National Strategy for Growth and Reduction of Poverty (NSGRP/MKUKUTA, 2005-2010). MKUKUTA, though designed as an implementation strategy with broader outcomes, it fell short in terms of prioritisation of development issues and laying out specific strategic interventions to realize the objectives of Vision 2025.​
Kwa hiyo baada ya kuasisiwa Vision 2025, activities za mpango huo zilianza kujitekeleza zenyewe hadi hapa tulipo?
 
Tumefika kipindi hakuna fofauti kati ya kazi ya Msemaji mkuu wa serikali na propagandist Polepole.

Serkali ya awamu ya tano imeshindwa vibaya sana kutengeneza ajira mpya na kuajiri, ndio kipind ambacho kizazi cha wasomi masikin kimetengenezwa rasmi.

Serkali imeshindwa kupandisha watu madaraja makazini pamoja kulipa watu stahiki zao na ongezeko la mishahara as per laws.

Huo uchumi wa kati utakuwa ni upi zaidi ya uchumi fake? Kama tungepewa nafasi ya kufanya evaluation ya awamu zote basi awamu hii ingescore poor marks..
 
Ni adhma,tashwishi,fahari na heshima ya kila Rais aliyepita kulifikisha Taifa kwenye Uchumi wa kati,lakini changamoto ni nyingi,na wengine waliishia kusema washauri wamewapotosha.

Kila Zama ilikuwa na uwezo wa kulifikisha Taifa kwenye Uchumi wa kati kutokana na determinant na denominator zilizopata kuakisi katika Zama zao,

Kila Awamu ilikuwa na population ya watu na fursa zile zile pengine fursa adimu zaidi zenye ubikira hata kuweza kupata pato kubwa kiasi cha kulifikisha Taifa katika Uchumi wa kati,

Watanzania wanataka Matokeo na si Mipango,Kila Rais katika Zama zake aliweka mipango,lakini hakuna aliyefika Uchumi wa kati,

Unaweza kuwa mzuri sana wa mipango lakini huwezi kufikia malengo yako. Ni kawaida kila kiongozi kuja na mipango/malengo yake ambayo kimsingi yanalenga kulifikisha Taifa mahala fulani.

Viongozi wote wamefanya Kazi ila Rais John Pombe Magufuli amefanikiwa Kwa Kiasi kikubwa sana.

Performance ya Rais John Pombe Magufuli iko juu sana na mara zote kitaalam tunampima mtu kwa Matokeo.

Nimalizie kwa kusema Rais John Pombe Magufuli anajua kupanga mipango na kubuni mikakati sawia ya kufikia mipango na malengo anayojiwekea.
 
Kwa hiyo nyumbu wa ufipa hili nalo wanahisi litawaongezea kura?

Kikwete hakuna mahala popote Lipojaribu kumnanga Jpm ila ni vile tu nyumbu wa ufipa wanatamani itokee hivyo!

Alafu JK ni ccm na atampigia Kampeni Magu siyo Lisu

Ni kweli atampigia ila kinafiki. Siasa bila unafiki haziendi. Hukumbuki kipindi JK anasafiri kwenda nje Magufuli alikuwa anasema JK asafiri zaidi ili tusaidiwe hela za maendeleo, alipoingia madarakani akawa anasema kuna watu walikuwa wanasafiri kwenda nje, kuliko hata kwenda kusalimia wazazi wao?
 
Waliosema tumeingia uchumi wa Kati world Bank , sio kwa Kauli yako au mtu Mwingine

WB walisema nchi yetu imeingia uchumi wa chini wa kati, ila mitume wa yesu wa chattle mkawa mnajiachia kila mahali kuwa mko uchumi wa kati, huku mkikwepa neno uchumi wa chini wa kati, ili kuhadaa mazoba. Bahati mbaya huyo JK kawazimia taa mmepoteana.
 
Ni adhma,tashwishi,fahari na heshima ya kila Rais aliyepita kulifikisha Taifa kwenye Uchumi wa kati,lakini changamoto ni nyingi,na wengine waliishia kusema washauri wamewapotosha.

Kila Zama ilikuwa na uwezo wa kulifikisha Taifa kwenye Uchumi wa kati kutokana na determinant na denominator zilizopata kuakisi katika Zama zao,

Kila Awamu ilikuwa na population ya watu na fursa zile zile pengine fursa adimu zaidi zenye ubikira hata kuweza kupata pato kubwa kiasi cha kulifikisha Taifa katika Uchumi wa kati,

Watanzania wanataka Matokeo na si Mipango,Kila Rais katika Zama zake aliweka mipango,lakini hakuna aliyefika Uchumi wa kati,

Unaweza kuwa mzuri sana wa mipango lakini huwezi kufikia malengo yako. Ni kawaida kila kiongozi kuja na mipango/malengo yake ambayo kimsingi yanalenga kulifikisha Taifa mahala fulani.

Viongozi wote wamefanya Kazi ila Rais John Pombe Magufuli amefanikiwa Kwa Kiasi kikubwa sana.

Performance ya Rais John Pombe Magufuli iko juu sana na mara zote kitaalam tunampima mtu kwa Matokeo.

Nimalizie kwa kusema Rais John Pombe Magufuli anajua kupanga mipango na kubuni mikakati sawia ya kufikia mipango na malengo anayojiwekea.

Na ndio maana awamu hii inatumia nguvu kubwa kutushurutisha tuamini kuwa imefanikiwa, kumbe tatizo kubwa haya yaliyofikiwa ni malengo aliyojiwekea rais, na sio malengo ya yaliyowekwa na nchi! Hiyo paragraph yako ya mwisho nimeielewa vizuri.
 
WB walisema nchi yetu imeingia uchumi wa chini wa kati, ila mitume wa yesu wa chattle mkawa mnajiachia kila mahali kuwa mkoa uchumi wa kati, huku mkikwepa neno uchumi wa chini wa kati, ili kuhadaa mazoba. Bahati mbaya huyo JK kawazimia taa mmepoteana.

Tena walikuwa wanasema wameingia uchumi wa kati kabla ya 2025 ambayo ndo ilikuwa lengo.

Kumbe lengo lilikuwa uchumi wa kati yes lakini wa dola 3000 siyo wa dola 1080 za sasa..
 
Back
Top Bottom