Dkt. Abbas: Dira ya maendeleo ya 2025 haina sehemu inayoonyesha pato la Nchi kuingia Uchumi wa Kati. WB ndio yenye vigezo vyake

Dkt. Abbas: Dira ya maendeleo ya 2025 haina sehemu inayoonyesha pato la Nchi kuingia Uchumi wa Kati. WB ndio yenye vigezo vyake

WB walisema nchi yetu imeingia uchumi wa chini wa kati, ila mitume wa yesu wa chattle mkawa mnajiachia kila mahali kuwa mko uchumi wa kati, huku mkikwepa neno uchumi wa chini wa kati, ili kuhadaa mazoba. Bahati mbaya huyo JK kawazimia taa mmepoteana.
Mwaka huu tunamchagua DJ kama kaweza inua business na asset portfolio zake kwa mgongo wa Nyumbu basi yeye atatufaa zaidi
 
Kwani utaalamu wa uchumi ni nini?

Acha kukariri bwashee!
Umeumbuka bwashee, yaani mimi nimesoma sheria halafu nisimame nitoe hoja kuhusu afya halafu niseme naongea kama bingwa/mtaalamu wa magonjwa kisa wanaonipa taarifa ndio wenye sifa hizo? Kubali tu umeteleza maana ulidhani Abbas ni mchumi! 😁😁
Umeumbuka bwashee!
 
Eti huyu ndie anasifiwa na Pascal Mayalla, na kuna siku akadai eti:-
...kwenye kumwaga nondo, naomba tumtendee haki Dr. Abbas sio mmwaga pumba huyu!, kiukweli kabisa Abbasi yuko fit sana, wote mnanijua humu mimi huwa sikopeshi, nikisema Dr. Abbasi yuko vizuri ni yuko vizuri kweli, yuko fit sana na inawezekana ndio maana licha ya kuteuliwa kuwa KM, Magufuli bado hajaona mtu wa kuvaa viatu vya Dr. Abbas vikamfiti sawa sawa

Ndugu yangu Pasco, kuna siku mimi na wewe tulibishana kidogo kuhusu Dr. Abbas, nami wala sikupindisha nikasema wazi kwamba Dr. Abbas ni Mmwaga Pumba tu! Now tell me, unakubaliana na hayo maelezo ya mtu ambae "hakuna wa kuvaa viatu vyake" nikuletee makarabrasha hapa hapa (manake sie wengine hatuna dogo)?!

Kama sio pumba alichoongea ni nini hicho?! Hivi unaweza vp kuweka development goals bila kuweka target?!
 
Kwa hiyo nyumbu wa ufipa hili nalo wanahisi litawaongezea kura?

Kikwete hakuna mahala popote Lipojaribu kumnanga Jpm ila ni vile tu nyumbu wa ufipa wanatamani itokee hivyo!

Alafu JK ni ccm na atampigia Kampeni Magu siyo Lisu
Jikite kwenye mada, kuna watu akili zenu zimeshamezwa na ukada!
 
So ile 20/25 ya mpango wa maendeleo ya taifa tumepangiwa na WB?

Serikali ingetafta msemaji mwingine mwenye akili ana mwenye exposure, huyu jamaa ni mweupe kichwani sijawahi kuona.

Hawa ndio wale wasomi wa vyeti wa serikalini, wanaosoma wapate vyeti ili kupeleka waongeweze mishahara au wapande vyeo.

Hii nimeitoa kwenye website ya serikali
Tovuti Kuu ya Serikali: Dira 2025

​
​
Vision 2025​
​
Preparation of the Tanzania Development Vision (TDV) 2025 started in 1994 and the Government finally launched the Vision in 1999. The gist of Vision 2025 is that, by 2025, Tanzania should have gone through an unprecedented economic transformation and development to achieve middle-income status; characterised by high levels of industrialisation, competitiveness, quality livelihood, rule of law and having in place an educated and pro-learning society. Specifically, the Tanzania Development Vision 2025 outlined the country's social, economic and political aspirations for the first quarter of the 21st century with an underlying drive to reaching the middle-income country (MIC) status, with a per capita income of USD 3,000 (in nominal terms) by 2025.

Vision 2025 was designed to be implemented through a series of five year development plans. However, at the time the Vision 2025 was adopted, Tanzania embarked on far-reaching policy and institutional reforms, under the auspice of Highly Indepted Poor Countries (HIPC) for it to qualify for the debt relief initiative. In view of this, and with the help of the development partners, short and medium term Poverty Reduction Strategies (PRS) were adopted as a safety net for the poor, which in the absence of Five Year Development Plans, became the framework to implement the Vision. First came the three year PRS (2000-2003), followed by the first five year National Strategy for Growth and Reduction of Poverty (NSGRP/MKUKUTA, 2005-2010). MKUKUTA, though designed as an implementation strategy with broader outcomes, it fell short in terms of prioritisation of development issues and laying out specific strategic interventions to realize the objectives of Vision 2025.​

Naam, umesema vema sana. Huyu msemaji wa serikali, Bw. Abasi (siyo Dr.) ni mjinga kabisa mwenye akili dhaifu isiyokuwa na uwezo wa kusoma na kutunukiwa PhD inayostahili. PhD yake anayodai kuwa nayo ni kipande cha karatasi kisichoakisi uelewa kichwani mwake. Ni aibu kuwa na msemaji wa Serikali wa aina hii. Anapinga bila kusoma kilichopo kwenye Dira ya Taifa. Anataka kumfurahisha JPM kirahisi huku akitaka kumuumbua JK bila kujua kuwa JK ndiye yupo sahihi.
 
Eti huyu ndie anasifiwa na Pascal Mayalla, na kuna siku akadai eti:-

Ndugu yangu Pasco, kuna siku mimi na wewe tulibishana kidogo kuhusu Dr. Abbas, nami wala sikupindisha nikasema wazi kwamba Dr. Abbas ni Mmwaga Pumba tu! Now tell me, unakubaliana na hayo maelezo ya mtu ambae "hakuna wa kuvaa viatu vyake" nikuletee makarabrasha hapa hapa?!

Kama sio pumba alichoongea ni nini hicho?! Hivi unaweza vp kuweka development goals bila kuweka target?!

I hope you know kwa kawaida discussions zenye mahitaji ya takwimu, huwa napenda kuambatanisha na takwimu!!
Unamuonea Pascal Mayalla bure. Unashindwa kuelewa wakati ule anatamka hayo alikuwa kwenye wakati gani. Kilikuwa Ni kipindi kigumu Cha kushawishi wajumbe kabla hawajafikia 500
 
Umeumbuka bwashee, yaani mimi nimesoma sheria halafu nisimame nitoe hoja kuhusu afya halafu niseme naongea kama bingwa/mtaalamu wa magonjwa kisa wanaonipa taarifa ndio wenye sifa hizo? Kubali tu umeteleza maana ulidhani Abbas ni mchumi! 😁😁
Umeumbuka bwashee!
Hahahaaaa......... hata wewe unaweza kuongea Kama mtaalamu wa uchumi tatizo liko wapi bwashee?!
 
So ile 20/25 ya mpango wa maendeleo ya taifa tumepangiwa na WB?

Serikali ingetafta msemaji mwingine mwenye akili ana mwenye exposure, huyu jamaa ni mweupe kichwani sijawahi kuona.

Hawa ndio wale wasomi wa vyeti wa serikalini, wanaosoma wapate vyeti ili kupeleka waongeweze mishahara au wapande vyeo.

Hii nimeitoa kwenye website ya serikali
Tovuti Kuu ya Serikali: Dira 2025

​
​
Vision 2025​
​
Preparation of the Tanzania Development Vision (TDV) 2025 started in 1994 and the Government finally launched the Vision in 1999. The gist of Vision 2025 is that, by 2025, Tanzania should have gone through an unprecedented economic transformation and development to achieve middle-income status; characterised by high levels of industrialisation, competitiveness, quality livelihood, rule of law and having in place an educated and pro-learning society. Specifically, the Tanzania Development Vision 2025 outlined the country's social, economic and political aspirations for the first quarter of the 21st century with an underlying drive to reaching the middle-income country (MIC) status, with a per capita income of USD 3,000 (in nominal terms) by 2025.

Vision 2025 was designed to be implemented through a series of five year development plans. However, at the time the Vision 2025 was adopted, Tanzania embarked on far-reaching policy and institutional reforms, under the auspice of Highly Indepted Poor Countries (HIPC) for it to qualify for the debt relief initiative. In view of this, and with the help of the development partners, short and medium term Poverty Reduction Strategies (PRS) were adopted as a safety net for the poor, which in the absence of Five Year Development Plans, became the framework to implement the Vision. First came the three year PRS (2000-2003), followed by the first five year National Strategy for Growth and Reduction of Poverty (NSGRP/MKUKUTA, 2005-2010). MKUKUTA, though designed as an implementation strategy with broader outcomes, it fell short in terms of prioritisation of development issues and laying out specific strategic interventions to realize the objectives of Vision 2025.​
", specifically the Tanzania Development Vision 2025 outlined the country's social, economic and political aspirations for the first quarter of the 21st century with an underlying drive to reaching the middle-income country (MIC) status, with a per capita income of USD 3,000 (in nominal terms) by 2025"

Hiyo USD 3000 ilikuwa ni desired status within the range ya uchumi wa kati na si ile ya chini. Kama mchangiaji mmoja alivyosema kuwa unaweza ukafaulu lakini itaangaliwa kama ni first class, upper second or Lower class etc.

Kikubwa bado tunaweza kuweka mipango vizuri na tukafikia hiyo desired status ya Hayati BWM ya USD 3000 tukifika 2025.
 
"Hatutaki kusikia world bank ni mabeberu"




Maendeleo yana chama!.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Siku hizi ile methali inayosema muungwana akivuliwa nguo huchutama imebadilika.
Sasa muungwana akivuliwa nguo hukimbia kutafuta nguo nyingine, maana anaweza kuchutama muda mrefu bila msaada.
 
Back
Top Bottom