Dkt. Abbas: Dira ya maendeleo ya 2025 haina sehemu inayoonyesha pato la Nchi kuingia Uchumi wa Kati. WB ndio yenye vigezo vyake

Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas ametolea ufafanuzi dhana ya uchumi wa kati kwa kusema katika Dira ya maendeleo ya 2025 hakuna sehemu inayoelezea pato la nchi kuingia uchumi wa kati.

Dkt. Abbas amesema Benki ya Dunia ndio huweka vigezo vya nchi kuingia katika ngazi hizo.

Hivyo amewataka watanzania kuachana na propaganda zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.

Dkt. Abbas ameyaweka hayo kwenye account yake ya twitter

Maendeleo hayana vyama!
Washaanza kutawanyika... yangesemwa na Mtanzania wa "kawaida" yale ya Mwijaku yangemkuta...
 
Usitumie hasira... Jitahidi kuelewa kabla hujajibu...

Hii sentensi yako ina maana gani au unaielewaje?

" "Ameongea kama serikali na kama mtaalamu wa uchumi!"

Specifically sehemu yenye bold.
Ni mtaalamu wa uchumi ndio anayewasemea wabobezi wa uchumi walioko serikalini!
 
DR Abbas hajamuelewa Jakaya

Wakati vision 2025 inawekwa na Mzee Mkapa 'pass mark' ya kufikia uchumi wa Kati ilikuwa Us 3,000.00

Mwaka huu WB wameshusha Pass mark hadi 1,080.00

Jk anataka tusipumbazwe na punguzo hilo sie tubaki na target yetu ya awali ya dola elf 3 ifikapo 2025

Povu za nini Dr Abbas

Jk hapendi kustukizwa kuongea kwa heshma yake alipaswa kujulishwa mapema nae aandae hotuba vizuri

Aliharibu makusudi na ndio sababu mwisho akasema kwa cheko la kebehi kama kawaida yake akisema kama vile hataki…'hii ndio gharama ya kunistukiza…kuongea…'
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] JF ni zaidi ya burudani.
 
Hii ndio garama ya kunishtukiza kuongeaa alisikika jk [emoji16][emoji16]
 
DR Abbas hajamuelewa Jakaya

Wakati vision 2025 inawekwa na Mzee Mkapa 'pass mark' ya kufikia uchumi wa Kati ilikuwa Us 3,000.00

Mwaka huu WB wameshusha Pass mark hadi 1,080.00

Jk anataka tusipumbazwe na punguzo hilo sie tubaki na target yetu ya awali ya dola elf 3 ifikapo 2025

Povu za nini Dr Abbas

Jk hapendi kustukizwa kuongea kwa heshma yake alipaswa kujulishwa mapema nae aandae hotuba vizuri

Aliharibu makusudi na ndio sababu mwisho akasema kwa cheko la kebehi kama kawaida yake akisema kama vile hataki…'hii ndio gharama ya kunistukiza…kuongea…'
magufuli alichagua njia mbovu kuamua kuwekeza zaidi kwenye propoganda kwenye Karne hii
 
Kwa hiyo nyumbu wa ufipa hili nalo wanahisi litawaongezea kura?

Kikwete hakuna mahala popote Lipojaribu kumnanga Jpm ila ni vile tu nyumbu wa ufipa wanatamani itokee hivyo!

Alafu JK ni ccm na atampigia Kampeni Magu siyo Lisu
bashite huna maana hujawahi kuwa na pointi za kusema zaidi ya kujipendekeza kwa sababu unalaana ya kuzaliwa yaani kutokuwa na akili bali kuishi kwa mission town
 
So ile 20/25 ya mpango wa maendeleo ya taifa tumepangiwa na WB?

Serikali ingetafta msemaji mwingine mwenye akili ana mwenye exposure, huyu jamaa ni mweupe kichwani sijawahi kuona.

Hawa ndio wale wasomi wa vyeti wa serikalini, wanaosoma wapate vyeti ili kupeleka waongeweze mishahara au wapande vyeo.

Hii nimeitoa kwenye website ya serikali
Tovuti Kuu ya Serikali: Dira 2025

​
​
Vision 2025​
​
Preparation of the Tanzania Development Vision (TDV) 2025 started in 1994 and the Government finally launched the Vision in 1999. The gist of Vision 2025 is that, by 2025, Tanzania should have gone through an unprecedented economic transformation and development to achieve middle-income status; characterised by high levels of industrialisation, competitiveness, quality livelihood, rule of law and having in place an educated and pro-learning society. Specifically, the Tanzania Development Vision 2025 outlined the country's social, economic and political aspirations for the first quarter of the 21st century with an underlying drive to reaching the middle-income country (MIC) status, with a per capita income of USD 3,000 (in nominal terms) by 2025.

Vision 2025 was designed to be implemented through a series of five year development plans. However, at the time the Vision 2025 was adopted, Tanzania embarked on far-reaching policy and institutional reforms, under the auspice of Highly Indepted Poor Countries (HIPC) for it to qualify for the debt relief initiative. In view of this, and with the help of the development partners, short and medium term Poverty Reduction Strategies (PRS) were adopted as a safety net for the poor, which in the absence of Five Year Development Plans, became the framework to implement the Vision. First came the three year PRS (2000-2003), followed by the first five year National Strategy for Growth and Reduction of Poverty (NSGRP/MKUKUTA, 2005-2010). MKUKUTA, though designed as an implementation strategy with broader outcomes, it fell short in terms of prioritisation of development issues and laying out specific strategic interventions to realize the objectives of Vision 2025.​

Kweli kabisa jamaa anapenda sana sifa na kila akiongea anajisifu sifu.Nahisi hajawahi kuishi nchi za watu angejiona hafai
 
Kuna Maelezo uko sahihi lkn mengine umeanza kutunga ni kwel rank za Wb zinabadilika Mara kwa Mara lkn Bahati mbaya Wb rank hazijawah kushushwa zaidi ya kupanda, by 2004 rank za middle income zilianzia USD 826-10065 I think hata hii dira wanalaunch rank zilikuwa hivyo!
Mkuu JK ametuacha na kipato Cha USD 980.00 tulishindwaje kuingia wakati rank ni hiyo?nakuonea aibu sana
 
zz.JPG
zzz.JPG
zzzzzz.JPG
 
Dira ya 2025 ilitaka tufikie uchumi wa kati wa pato la dola 3000 kwa kila mtanzania siyo uchumi wa kati wa 1080 kwa pato la Mtanzania.

Kwa hiyo wanapodai kuwa wamefikia lengo la vision 2025 kabla ya mwaka 2025 ni kuudanganya umma!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
We mpuuzi sana unabisha na kila mtu Alisikia? Lengo letu ilikua by 2025 tufikie pato la dola 3000 full stop!
Sasa unajua maana ya neno trend?? Kimahesabu ?,, na neno probability kimahesabu ?? Au
Upo hapa kuleta hadithi za vijiweni???
Maana uchumi ni mahesabu sio hadithi za vijiweni
 
Waliosema tumeingia uchumi wa Kati world Bank , sio kwa Kauli yako au mtu Mwingine
WB wamesema kwa sababu ya takwimu, lakini hatuwezi kujisifia ka tulivyojisifia kumbe malengo tuliyojiwekea hatujafikia.
Mfano we lengo lako upate division one ukapata division three unafikiri NEC watasema umefeli? Sasa je hayo ndo malengo yako uliyokua umejiwekea?
Naona alichokisema ni kutukumbusha juu ya malengo ambayo kama nchi tulijiwekea ya kufikia. Tusishangilie ila tujitafakari ndo malengo tuliyokua tumejiwekea?
 
Na ikathibitishwa na taarifa ya World Bank kama tumekidhi vigezo
Ndiyo Ila hatujafikia lengo letu la USD 3000.00 bado tupo kwenye 1080 yaani ile kazi aliyoisifia magufuli kwamba tumeipiga ni ya kuongeza USD 100.00 kwa miaka mitano
 
So ile 20/25 ya mpango wa maendeleo ya taifa tumepangiwa na WB?

Serikali ingetafta msemaji mwingine mwenye akili ana mwenye exposure, huyu jamaa ni mweupe kichwani sijawahi kuona.

Hawa ndio wale wasomi wa vyeti wa serikalini, wanaosoma wapate vyeti ili kupeleka waongeweze mishahara au wapande vyeo.

Hii nimeitoa kwenye website ya serikali
Tovuti Kuu ya Serikali: Dira 2025

​
​
Vision 2025​
​
Preparation of the Tanzania Development Vision (TDV) 2025 started in 1994 and the Government finally launched the Vision in 1999. The gist of Vision 2025 is that, by 2025, Tanzania should have gone through an unprecedented economic transformation and development to achieve middle-income status; characterised by high levels of industrialisation, competitiveness, quality livelihood, rule of law and having in place an educated and pro-learning society. Specifically, the Tanzania Development Vision 2025 outlined the country's social, economic and political aspirations for the first quarter of the 21st century with an underlying drive to reaching the middle-income country (MIC) status, with a per capita income of USD 3,000 (in nominal terms) by 2025.

Vision 2025 was designed to be implemented through a series of five year development plans. However, at the time the Vision 2025 was adopted, Tanzania embarked on far-reaching policy and institutional reforms, under the auspice of Highly Indepted Poor Countries (HIPC) for it to qualify for the debt relief initiative. In view of this, and with the help of the development partners, short and medium term Poverty Reduction Strategies (PRS) were adopted as a safety net for the poor, which in the absence of Five Year Development Plans, became the framework to implement the Vision. First came the three year PRS (2000-2003), followed by the first five year National Strategy for Growth and Reduction of Poverty (NSGRP/MKUKUTA, 2005-2010). MKUKUTA, though designed as an implementation strategy with broader outcomes, it fell short in terms of prioritisation of development issues and laying out specific strategic interventions to realize the objectives of Vision 2025.​
Dr Hassan Abasi anatumikia tumbo lake kama MATAGA wote walivyo. Huyu anaweza hata kuwakataa wazazi wake kisa kumridhisha Jiwe
 
DR Abbas hajamuelewa Jakaya

Wakati vision 2025 inawekwa na Mzee Mkapa 'pass mark' ya kufikia uchumi wa Kati ilikuwa Us 3,000.00

Mwaka huu WB wameshusha Pass mark hadi 1,080.00

Jk anataka tusipumbazwe na punguzo hilo sie tubaki na target yetu ya awali ya dola elf 3 ifikapo 2025

Povu za nini Dr Abbas

Jk hapendi kustukizwa kuongea kwa heshma yake alipaswa kujulishwa mapema nae aandae hotuba vizuri

Aliharibu makusudi na ndio sababu mwisho akasema kwa cheko la kebehi kama kawaida yake akisema kama vile hataki…'hii ndio gharama ya kunistukiza…kuongea…'
JK kasema jambo moja tuu tena kwa lugha laini tayari wametahayari na kujitokeza kupambana utadhani kasema kwa kukomoa.
Hivi kweli kampeni zikianza wataziweza hawa watu? Watajibu mangapi kuficha uongo wao?
Kumbe hii ndio maana ya neno NJIA YA MUONGO NI FUPI
 
Back
Top Bottom