Dkt. Abbas na Watendaji wengine mlioko Serikalini kama hatuna uhakika na Viingereza vyetu vya 'Ukubwani' na 'Uchochoroni' tutumie tu Kiswahili chetu

Mkuu, hata Kama niliishia vidudu, ya 1 Ina ukakasi mno
Upo sahihi 100% na kuna Watu hapa bado hawajajua kuwa GENTAMYCINE ukiona nimeanzisha Uzi Chokonozi ( Uzi Nongwa ) hapa JamiiForums juu ya ama Jambo fulani au Kitu fulani jua kuna 'Tatizo' nimeliona mahala hivyo nataka 'tulirekebishe' Kimjadala zaidi ili wengine wasije Kurudia makosa yale yale.
 
Makosa ya lugha waende shule tu hakuna namna mkuu sio wanatujazia vyeti kumbe wafunga Tai tuu...
 
hakutakiwa tu kuweka 'is'.
Sasa kama angekuwa anakijua vyema Kiingereza pamoja na Kujigamba Kwake kuwa na 'Doctorate' huku akiwa 'Mjivuni' na mwenye 'Dharau' sana angekosea hivyo kwa kuiweka hiyo 'is' yako Mkuu?
 
NO 3 Na 4
Zote ni sahihi kabisa.
Ila penda usipende Tanzania isipobadilisha mfumo wa Elimu, Itaendelea kubakia na sizitaki mbichi hizi Kumbe imeshindwa kuzifikia
Wasomi Tanzania wengi ni fake products from our universities.
Sasa mtu kama Abbas hajui singular and plural hajui wala Sentence kwamba anaiongelea wakati gani na atumie nini
 
Hahaha
Mi huwa naamua kutumia lugha yangu tu kuepuka kuwaumiza watu masikio yao
πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu ukitaka kujua kingereza usiogope watu watakukosoa vipi, just try the best you can, then ukikosolewa ndio utajua jinsi ya kujirekebisha.
 
Zote ni sahihi isipokuwa hiyo ya kwanza aliyotumia Mheshimiwa.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…