Fabolous
JF-Expert Member
- Sep 23, 2010
- 2,993
- 3,747
minor not minerMiner grammatical errors are allowed when we speak than when we write. Kweli cha muhimu kaeleweka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
minor not minerMiner grammatical errors are allowed when we speak than when we write. Kweli cha muhimu kaeleweka.
Sasa tungejuaje kama ana PhD Mkuu?"Reforms are going on in our Ministry" inatosha, sidhani kama kuna haja ya kuweka "A lot" na makorokocho mengine.
Usikute ni Yeye na kaja Kukikosea tena!!minor not miner
Kwani anamfikia Profesa Ndalichako huyu ....
Wengine mnadhani tunavyopenda kutumia sana Kiswahili kila mahala tunapenda na labda hicho Kiingereza hatukitamani? Ukweli ni kwamba tunakiogopa zaidi ya Ukoma na Corona.Hahaha
Mi huwa naamua kutumia lugha yangu tu kuepuka kuwaumiza watu masikio yao
Mkuu umenivunja mbavu sana Ahsante.Hata hivyo Abbas amejitahidi sana...
KIINGEREZA hata waingereza wenyewe kinawasumbua mfano ona mwalimu wa kenya alivyosahihisha kiingereza kibovu kilichotolewa na familia ya malkia wa uingerezaMwenyewe ameiona ni sawa, lugha imekuja na meli hii mkuu ukimchunguza bata huwezi kumla ilimradi ameeleweka just leave it right there!.
Nadhani ukisema hivyo haitoshelezi, inabidi uweke vijimaneno mbele ya reforms. "A lot" kama unamsahihisha Mheshimiwa au " There are reforms going on in our Ministry" au kama mvivu " we are reforming our ministry". Kuna njia nyingi za kumchuna mbuzi."Reforms are going on in our Ministry" inatosha, sidhani kama kuna haja ya kuweka "A lot" na makorokocho mengine.
Hebu acha Kutetea Upopoma ( Upumbavu ) tafadhali sawa? Mtu wa Hadhi yake na anajulikana kwa Kujisifia kuwa Kasoma sana na Mwerevu mno kamwe hawezi Kuzungumza Kiingereza 'Broken' kama hicho. Usinilazimishe nianze Kutupuuza ( Kukudharau ) na Wewe hapa sawa?Mwenyewe ameiona ni sawa, lugha imekuja na meli hii mkuu ukimchunguza bata huwezi kumla ilimradi ameeleweka just leave it right there!.
Tena Kajifunza kuliko hata huyo Abbas.Hata wewe mwenyewe umejifunza kitu japokuwa umekuja kivingine.
Maelezo mengi halafu Upuuzi mtupu tu.KIINGEREZA hata waingereza wenyewe kinawasumbua mfano ona mwalimu wa kenya alivyosahihisha kiingereza kibovu kilichotolewa na familia ya malkia wa uingereza
A teacher based in Kenya’s capital Nairobi, Mwalimu Joshua Njenga has detected some grammatical errors in the statement issued by the Buckingham Palace on Teusday, March 9 with regard to Prince Harry and Meghan Merkle’s interview with Oprah.
In a viral post on Facebook, Njenga highlighted what he believed were ‘errors’ contained in the statement, introducing the wordings he thought would be appropriate instead.
Njenga said he had a debate with his students who noted the statement was grammatically faulty right from the header to the closing sentence, pointing out the unnecessary wordings that had been carried therein.
Dear Buckingham Palace, In my morning class, we discussed the difference between active and passive writing, and we used your statement for practice. I asked my students to rewrite it using active language. Here is what they did.” he said in a caption before sharing the ‘corrected statement’
View attachment 1768448
umeamka na pombe kichwani punguza uleviMaelezo mengi halafu Upuuzi mtupu tu.
Unamwamini mkenya kuliko waandishi wa Malkia? Hili tamko lilitolewa kuonyesha kuwa wao pia ni familia kama familia nyingine na wanawapenda ndugu zao, ndio maana wakajiepusha matumizi ya neno royal na kutumia lugha inayo onyesha warmth na sio ubaridi wa formal language.KIINGEREZA hata waingereza wenyewe kinawasumbua mfano ona mwalimu wa kenya alivyosahihisha kiingereza kibovu kilichotolewa na familia ya malkia wa uingereza
A teacher based in Kenya’s capital Nairobi, Mwalimu Joshua Njenga has detected some grammatical errors in the statement issued by the Buckingham Palace on Teusday, March 9 with regard to Prince Harry and Meghan Merkle’s interview with Oprah.
In a viral post on Facebook, Njenga highlighted what he believed were ‘errors’ contained in the statement, introducing the wordings he thought would be appropriate instead.
Njenga said he had a debate with his students who noted the statement was grammatically faulty right from the header to the closing sentence, pointing out the unnecessary wordings that had been carried therein.
Dear Buckingham Palace, In my morning class, we discussed the difference between active and passive writing, and we used your statement for practice. I asked my students to rewrite it using active language. Here is what they did.” he said in a caption before sharing the ‘corrected statement’
View attachment 1768448
I will put you inside😂Kwani anamfikia Profesa Ndalichako huyu ....
kama wewe ulivyofanya minor grammatical errorMiner grammatical errors are allowed when we speak than when we write. Kweli cha muhimu kaeleweka.
usichoelewa hapo nini sasa? mbona poa tu kuwa kuna mtu anawekwa ndaniI will put you inside😂