Dkt. Abbas na Watendaji wengine mlioko Serikalini kama hatuna uhakika na Viingereza vyetu vya 'Ukubwani' na 'Uchochoroni' tutumie tu Kiswahili chetu

Dkt. Abbas na Watendaji wengine mlioko Serikalini kama hatuna uhakika na Viingereza vyetu vya 'Ukubwani' na 'Uchochoroni' tutumie tu Kiswahili chetu

umeamka na pombe kichwani punguza ulevi
Hivi si ndiyo Wewe Jana ulisema HUNIPENDI sasa inakuwaje kila nikiletacho hapa JF ni lazima ukisome? Nikuelewe vipi? Kwanini 'Usinibloku' tu ili uendelee Kuwasoma unaowaita 'Werevu' Wenzako?

Kinachowateseni na Kuumia zaidi nami ni Mwenyezi Mungu kuniumba kuwa " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " hivi.

Leo naona umekuja 'Kiadabu' sana tu.
 
KIINGEREZA hata waingereza wenyewe kinawasumbua mfano ona mwalimu wa kenya alivyosahihisha kiingereza kibovu kilichotolewa na familia ya malkia wa uingereza

A teacher based in Kenya’s capital Nairobi, Mwalimu Joshua Njenga has detected some grammatical errors in the statement issued by the Buckingham Palace on Teusday, March 9 with regard to Prince Harry and Meghan Merkle’s interview with Oprah.


In a viral post on Facebook, Njenga highlighted what he believed were ‘errors’ contained in the statement, introducing the wordings he thought would be appropriate instead.


Njenga said he had a debate with his students who noted the statement was grammatically faulty right from the header to the closing sentence, pointing out the unnecessary wordings that had been carried therein.


Dear Buckingham Palace, In my morning class, we discussed the difference between active and passive writing, and we used your statement for practice. I asked my students to rewrite it using active language. Here is what they did.” he said in a caption before sharing the ‘corrected statement’



View attachment 1768448
Mkuu YEHODAYA hapa hakuna grammatical errors isipokuwa kuna unnecessarily wording. Huyu mwalimu wa Kenya alikuwa anairekebisha hiyo statement ya royal family kwa kutumia maneno machache ambayo bado yangeweza kueleweka badala ya maneno mengi. Of course kuwa muingereza au mmarekani haimaanishi ndio utajua kila neno la kiingereza, the same thing hata kwetu sisi watanzania, kuwa mtanzania haiimaanishi utajua kila neno la kiswahili, lakini hii haimaanishi kwamba muingereza kiingereza kinamshinda au ni kibovu au kiswahili cha mtanzania ni kibovu au kinatushinda.
 
usichoelewa hapo nini sasa? mbona poa tu kuwa kuna mtu anawekwa ndani
Humpendi Mleta Mada ( GENTAMYCINE ) kwanini unapenda 'Kushoboka' kusoma 'Threads' zake na 24/7 unamfuatilia kila anachokiandika ( anachokichangia ) hapa JamiiForums? Wenye Akiki Kubwa ( Einsteins ) tukuelewe / wakuelewe vipi?
 
Wenye Akiki Kubwa ( Einsteins ) tukuelewe / wakuelewe vipi?
Hata kuandika tu hujui AKIKI kubwa ndio nini? hata hueleweki haya edit ulichoandika.Kuandika tu kiswahili kunakushinda .Umejifunzia kiswahili ukubwani? rekebisha hiyo AKIKI yako
 
Unamwamini mkenya kuliko waandishi wa Malkia? Hili tamko lilitolewa kuonyesha kuwa wao pia ni familia kama familia nyingine na wanawapenda ndugu zao, ndio maana wakajiepusha matumizi ya neni royal na kutumia lugha inayo onyesha warmth na sio ubaridi wa formal language.

Amandla...
Hana Akili huyo Mkuu asikusumbue pia.

Cc: YEHODAYA
 
Hebu acha Kutetea Upopoma ( Upumbavu ) tafadhali sawa? Mtu wa Hadhi yake na anajulikana kwa Kujisifia kuwa Kasoma sana na Mwerevu mno kamwe hawezi Kuzungumza Kiingereza 'Broken' kama hicho. Usinilazimishe nianze Kutupuuza ( Kukudharau ) na Wewe hapa s
😂😂😂 watu wengine sijui vp, unanidharau mimi ndio niliosema, A lot of reforms is going on now in our ministry???.
Anyway, bado asubui saiz labda umeamka vibaya.
 
Hata kuandika tu hujui AKIKI kubwa ndio nini? hata hueleweki haya edit ulichoandika.Kuandika tu kiswahili kunakushinda .Umejifunzia kiswahili ukubwani? rekebisha hiyo AKIKI yako
Ulichokiona Kwangu ni hiko tu hasa au?
 
😂😂😂 watu wengine sijui vp, unanidharau mimi ndio niliosema, A lot of reforms is going on now in our ministry???.
Anyway, bado asubui saiz labda umeamka vibaya.
Kuna unachokitafuta Kwangu endelea...
 
Unamwamini mkenya kuliko waandishi wa Malkia? Hili tamko lilitolewa kuonyesha kuwa wao pia ni familia kama familia nyingine na wanawapenda ndugu zao, ndio maana wakajiepusha matumizi ya neno royal na kutumia lugha inayo onyesha warmth na sio ubaridi wa formal language.

Amandla...
Huyu mkenya yuko vizuri hukosoa statement nyingi za viongozi zikiwa na kiingerezza kibovu

Hapa alisahihisha statement ya Raisi wa Ghana

1619680818430.png
 
Back
Top Bottom