johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Msemaji mkuu wa serikali yuko mubashara TBC akielezea mafanikio ya awamu ya 5.
Dkt. Abbas anasema pamoja na kununua ndege na watu wengine " kununa" serikali pia inawekeza fedha za kutosha katika Huduma za kijamii ikiwemo sh trilioni 2 kwenye sekta ya elimu.
Hivyo wale wanaonuna wakiona madaraja na mabwawa ya kufua umeme yanaendelea kujengwa basi wajiandae " kununa" zaidi kwani mengi mazuri yanakuja, amesema.
Dkt. Abbas anasema hivi sasa kuna baadhi ya wanafunzi wa elimu ya juu wanalalamika fedha zao za mikopo zinawahi sana kuingia katika account zao kabla vyuo havijafunguliwa.
Chanzo: TBC
My take; Chadema msinune
Maendeleo hayana vyama!