Dkt. Abbas: Ndege tunanunua na huduma za kijamii tunawekeza fedha za kutosha, wanunaji waendelee kununa

Dkt. Abbas: Ndege tunanunua na huduma za kijamii tunawekeza fedha za kutosha, wanunaji waendelee kununa

Wanaonuna ni mafisadi na wapo wachache, wengi tufurahie kazi ya awamu ya tano.
 
Hakuna atakayebaki ardhirini ata ndege zikinunuliwa watapanda wengine walionunua sio kitu tena. Huyo ndg ajue muda wa kuishi ni mfupi kuliko tulioishi.
 
Eti na huyo ni msemaji na mtetezi wa utawala
 
Kumbe unalialia Sana humu sababu ya uvivu na umasikini wako? Mimi pia nipo tayari kukupa hayo mahela, nitafute pm.
Wakati hata uhakika wa kupata milo miwili kwa siku huna kazi yako ya kuuza kababu na kashata havikidhi mahitaji
 
nimefuatilia kipindi. Daktari alipangua maswali vizuri sana kwa maelezo yaliyonyooka
 
Wala usiwaze Sana kwa Hilo kwani Arusha bado inaongozwa na chadema!
Narudisha kipasa sauti lumumba kwako johnthebapist!
 
Wanaonuna wana kila sababu ya kununa kwani mnatumia vibaya fedha zao za kodi; halafu hamuishi kuwabambikizia kodi kila leo!!!

Wataachaje kununa wakati mmetumia mabilioni ya shilingi kununua ndege ambazo ni underutilized hivyo kulitia hasara shirika na nchi kwa ujumla!!! Hayo madaraja mnayojenga ni sub standard kwani kila mvua zikinyesha yanabomoka na inabidi kuingia gharama upya kuyatengeneza!!! Lazima wanune.
 
Back
Top Bottom