johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kwani Chadema haina uhakika wa kupokea ruzuku?Hawa jamaa wana uhakika wa kupokea mahela hivyo hawaathiriki
Kumbe unalialia Sana humu sababu ya uvivu na umasikini wako? Mimi pia nipo tayari kukupa hayo mahela, nitafute pm.Hawa jamaa wana uhakika wa kupokea mahela hivyo hawaathiriki
Kua mzalendo mkuu,usiseme mgao sema hivi "kutokana na sababu za kiufundi umeme umecheza cheza kidogo" hahah.Kama ni kweli huu mgao wa umeme huku kwetu kila siku saa 12 jioni unakatwa unarudishwa saa 4 usiku, sababu yake nini?
Bado haujapata mme tu hadi leo?!.Kumbe unalialia Sana humu sababu ya uvivu na umasikini wako? Mimi pia nipo tayari kukupa hayo mahela, nitafute pm.
Hivi mheshimiwa ana habari Arusha kuna mgao wa umeme mji mzima kila ikifika saa 12 jioni umeme unakatwa unarudishwa saa 4 usiku.Kua mzalendo mkuu,usiseme mgao sema hivi "kutokana na sababu za kiufundi umeme umecheza cheza kidogo" hahah.
Msemaji wa serikali amesha tolea majibu kuwa, mwezi huu wa march mtalipwa malimbikizo yenu ya mshahara, na pia kafafanua vizuri tu kuwa kwa mujibu wa miongozo haitakiwi kabisa taasisi yoyote ya serikali au wizara kutengeneza au kulimbikiza madeni ya watumishi wake, kwa maana hakuna lolote litakalo fanyika bila fedha kutengwa.Wafanyakazi tumechoka na hizi ngonjera! Tupandisheshi madaraja yetu. Haiwezekani mfanyakazi aliye ajiriwa mwaka 2014 alingane mshahara na aliye ajiriwa 2021!
Na wale vibogoyo wanaosema tuache kazi, sijui bla bla gani, wakae pembeni! Maana ni haki yetu kudai stahiki zetu kutoka kwa mwajiri.
Ni wapi huko tutajie suala lako lishughulikiwe harakaKama ni kweli huu mgao wa umeme huku kwetu kila siku saa 12 jioni unakatwa unarudishwa saa 4 usiku, sababu yake nini?
Hivi kauli za hivi si ndo zile dada zetu wanasemaga hapo mtu kachambwa?!Hivyo wale wanaonuna wakiona madaraja na mabwawa ya kufua umeme yanaendelea kujengwa basi wajiandae " kununa" zaidi kwani mengi mazuri yanakuja, amesema.
Mi mwenyewe hapa niko gizani,Tanesco njiro wanaulizwa kwanini hakuna umeme wanajibu kizembe tu tuna operation ya kukata matawi ya miti afu ndo imeisha hiooooooooooooooo.Hivi mheshimiwa ana habari Arusha kuna mgao wa umeme mji mzima kila ikifika saa 12 jioni umeme unakatwa unarudishwa saa 4 usiku.
Wenye biashara zao wameshaanza kujiongeza na jenereta.
Halafu mnatuambia maendeleo, maendeleo gani?
Blah blah.Msemaji mkuu wa serikali yuko mubashara TBC akielezea mafanikio ya awamu ya 5....
Hiyo miti wanakata usiku gizani?Mi mwenyewe hapa niko gizani,Tanesco njiro wanaulizwa kwanini hakuna umeme wanajibu kizembe tu tuna operation ya kukata matawi ya miti afu ndo imeisha hiooooooooooooooo.