Dkt. Abbas: Ndege tunanunua na huduma za kijamii tunawekeza fedha za kutosha, wanunaji waendelee kununa

Kweli elimu yetu imeshuka sana, kauli kama hizi za kitaarab hazitegemewi kutoka kwa msemajii wa serikali mwenye Phd
 
Kweli elimu yetu imeshuka sana, kauli kama hizi za kitaarab hazitegemewi kutoka kwa msemajii wa serikali mwenye Phd
Kule Tanga hizi ni lugha za kawaida kabisa bwashee!
 
Serikali Imeanza Lini Masuala Ya Kuchambana?πŸ™‚
 
Anae nuna sbb ya maendeleo makubwa anayofanya Mh. Rais Magufuli, huyo ni mchawi. Au ana roho ya kichawi. Wachawi hawapendi maendeleo kabisa.
 
Ni kweli wamewekeza kwenye afya ndio maana viongozi wanaenda kutibiwa Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…