Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumba zipo, andika wewe "point zako"
Kikolo umuona huyo ati nimeandika pumba ila chair na secretary ndio wana point
Madaraka kama haya hata mimi nayataka, Unasahau shida kidogo za dunia kwa muda.
Kweli maana Hata ukitema mashudu wapo washangiliaji.Madaraka kama haya hata mimi nayataka, Unasahau shida kidogo za dunia kwa muda
Ndio maana sikutaka maneno niliamuabkumpa ushahidi wa wazi.Kikolo umuona huyo ati nimeandika pumba ila chair na secretary ndio wana point
Kweli maana Hata ukitema mashudu wapo washangiliaji!
Roman empire haipo tena, Hitler hakudumu, Iddi Amini hakudumu, wa milele ni Mungu pekeyake!Hiki chama hakitatoka madarakani kamwe.
People power ni kwa kupiga kura, lakini kupiga kura hakupaswi kuwa unashindana na dola
Ni vile vyenye nguvu ya maamuzi ya sheria, majeshi serikali na mahakama.Vyombo vya dola ni vipi?