Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

Umeandika pumba

Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli
Ohooo ushaharibu! Waziri Kabudi yuko Washington DC anatoa commitment, we ushamwa ( 640 X 640 ).jpg

2316889_FB_IMG_1582491848963.jpg
 
Kasimba G,

Malawi walikuwa na hali mbata kuliko sisi, lakini hivi sasa tumeona jinsi Jeshi linavyosimama katikati kuhakikisha wananchi wanasimama upande wao kutimiza wajibu wao na serikali inasimama upande wake kutimizavwajibu wake na pia kuhakikisha serikali haina sauti ya mwisho juu ya matumizi ya nguvu dhidi ya wananchi, maana tumeshuhudia sasa hivi kila wananchi wakifanya maandamano ya kuipinga serikali huwa Jeshi linakywa linawaingoza huku likitoa ulinzi.

Taratibu na sisi karibu tunaingia huko maana ile elimu na nguvu ya siasa jeshini imefutika sana na kubaki asilimia chache mno.
 
Pohamba,
Raia hawezi kuwa dola hata siku moja huo ni usanii baada kugundua kosa, sasa tume ya uchaguzi ambayo ni dola eti inafafanua kauli ambayo si yake, kwa kifupi ni walewale.
 
Kasimba G,
Watanzania tuamke,hawa jamaa hawategemei kura zetu.Wanauhakika wa kuendelea kuiba kura,hawataki tume huru ya uchaguzi maana ikiwa huru hawatakuwa madarakani tena.Ndiyo maana wapo tayari kufanya chochote kufanikisha hilo.
Tudai Katiba ya wananchi, tuokoke vinginevyo Bali yetu kama Taifa itakuwa ngumu na mbaya kuliko ilivyokuwa kabla ya 1961.
 
Tumekwisha, maana ni waoga sana. Tunatakiwa kuwa wasomali ili kupambana na Chama. Itachukua miaka mingi sana kuwaondoa madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana katika uchaguzi vyombo vya dola vitaegemea upande wa CCM? Mali za dola na umma zitatumika kuipigia debe CCM? Magari ya ST na SU yatatumika kuisaidia CCM? Ma RC na DC watapigia debe CCM?

Ndo maana vyombo vya habari kama TBC na TSN vimeegemea upande wa CCM. Habari za upinzani zinatupwa kapuni au zinatiwa kabari ili kutoa upendeleo kwa CCM. Sawa hiyo?
 
Huyu anatafutwa hiyo dola anayoitegegemea siku ipinduee maana hiyo ndio Ada ya kuitegemea dola ; siku wakichoka na kama political systems iko suppressed wanakuondoa na wanakufuta.

Tofauti ya political system hata ikishinda haiwezi kufuta hizo kanu na UNIP bado zipo na pengine siku moja zitarudi madarakani.

Kama Kanu Kenya inaanza kupata nguvu wananchi wanagundua ndio Chama pekee kiko nchi nzima hata kama hakuna majority.

Vyama vingine ni tribal coalition. ... kama Moi angepinduliwa hata hiyo hope ya Chama chake kubaki isingekuwako
 
Back
Top Bottom