Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

Wanajiona wako smart sana nivile wananchi hawako makini lasivyo hicho chama kingeshakufa zamani!! Nchi zilizostaatabika Serikali ndiyo hutumia dola na sio chama, chama kaziyake kuuza Sera,kushauri na kufatilia utekelezaji wake. Hii tuliyonayo ni the Government of Tanzania lkn wajinga huiita government of Ccm au government of Joni bila aibu.

Kiufupi kiongozi hawajielewi ndomana tunataka katiba mpya hoja za kiporo kilichochacha anazijua aliyezitoa sisi tunataka katiba itayotuhakikishia usalama na ustawi bora wa nchi hatakama tutapata rais waajabu anayestahili kupingwa na kilamtu timamu...
 
Nampongeza sana Kigogo2014 alisema huyu mtu alipotoka pale chuo kikuu akili zake za chuo aliziacha pale getini
 
CCM ilishaishiwa hoja kitambo ,ipo Madarakani kwa ushawishi mkubwa wa nguvu za dola.
Bila Vyombo vya Dola sasa hivi yale matambala yao ya kijani wangekuwa wanapigia deki.
 
Hapo kwenye kutumia dola ili kubaki madarakani,kuna mipaka lazima ivukwe,uwezi kuishia kukusanya kodi,na kukamata waharifu,lazima utaua sana,utaumiza,utapoteza,na lazima utatumia dola kuiba kura,au kubatilisha matokeo,asijilinganishe na Trump

Trump alitumia dola ili Mpinzani wake achunguzwe,ili achafuke,na hapa akuitumia FBI,au CIA,alitumia wachunguzi binafsi

Lakini hawezi kuitumia FBI,au Polisi,DoJ,kuwaumiza wapinzsni wake,wala hawezi kuingilia mchakato wa uchaguzi,ikigundurika,ni nje tu!

Na wananchi wakiamua kwenye sanduku la kura,atatoka bila ubishi,Nguvu ya Serikali inabaki kuwa ni wananchi,kwa CCM nguvu yao sio Wananchi,ni Dora!TPDF,TISS,Polisi,covert agencies,!
Tunasafari ndefu

Jackob zuma,alikuwa Raisi,na Dora ilikuwa chini yake,lakini wananchi walipotaka atoke,Dora haikumkingia kifua,hiyo ndio nchi tunayotaka,sio huu upuuzi wa Bashiru/CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawajielewi wanategemea dola badala ya Hoja hali dola nao ni wahanga kama watumishi wwengine wamenyimwa Na kukosa haki zao za kikatiba ikiwemo nyongeza ya mishahara kikokotoo kinakuja.Chama chochote kinachotegemea dola badala ya hoja ni chama mfu.
 
Wameamua kurudia makosa waliyofanya Gaddafi Na Saddam badala ya kubebwa Na Hoja wakabebwa Na dola yakawakuta.
 
Ni ukweli japo unauma kuuaikia walificha weee sasa wanwamua kusema live [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli madaraka wanalevya zaidi ya pombe na bangi sasa kama iko hiko kwann qanaharubu hera kuandaa uchaguzi feki u sio wa huru wala haki wakijua kabisa ni nani anatakiwa kushinda na sio kama tutakavo sisi wanchi!??? [emoji848] Kwann wasifute chaguzi zote ili pesa tufanyie maendeleo mengine kuliko huu ujuha wao au ni ili wengine wapate kula kulipwa nmarupurupu na mishahara yq buree jw huku sio kuihujumu nchi!??? [emoji848] [emoji848] Kwaiyo nao wame amini police ni yao kwa ajiki ya kuwalinda hata wakikiuka katiba ya nchi.. Ndio maana wanaitwa policcm
 
Chadema hii ni point muhimu kupaza sauti kama mumekusudia kushika dola 2020, msilalamike sana kwenye media chama chenu ni kikongwe kipo zamani kwenye upinzani lifanyiwe kazi kivitendo hili tamko. Vyenginevyo kusubiri majibu ya tume ya uchaguzi imtangaze mshindi stori itakuwa ni ile ile
 
Kauli hii inapishana vipi na ile ya Museveni kudai kuwa iingia madarakani kwa mtutu hivyo hawezi kutoka kwa kalamu na karatasi?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Ndio maana hatutakiwi hata kushiriki huo uchaguzi wao na tume yao sipigi kura milele mpaka tuwe na tume huru ya uchaguzi
 
Huu ndo ukweli mbona tunalijua mda sana kuwa sisi ipo ili kuilinda ccm ishinde we ndo unajua leo
Hii nchi sometime unawaweza kushinndwa kuelewa kama wewe ni mzawa au wakuja..kauli za viongozi wetu zinachanganya sana!
 
Yaani pamoja na maelezo aliyoleta undetaker huyu ole mushi kashindwa kumuelewa Bashiru?
 
We Mzee acha mbwembwe, Tume huru kwa sasa si option tena!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…