M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
Labda wajeda wahusike!Ccm haitokaa itoke madarakani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wajeda wahusike!Ccm haitokaa itoke madarakani
Karma..Asante. Nilikuwa natafuta uzi huu sana. Nitaufanyia kazi next time. Kwa leo nataka nifanye kitu kingine.
KeshaliwaLabda wajeda wahusike!
Eti wanasema "falusafa"Ni Dr lakini, ivi ni Dr wa kitu gani vile
Wa miti shambaNi Dr lakini, ivi ni Dr wa kitu gani vile
Bora wache kusoma maana wanazidi kuwa vichaaBnini kimewapata madokta wa vyuo vikuu...sielewe udokta mana yake nini?naomba mnijibu hapa!sisemi muache kusoma sana hapana...nipeni majibu hapa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
SanaUkweli mchungu.
Sijui nini kimewapata madokta wa vyuo vikuu...sielewe udokta mana yake nini?naomba mnijibu hapa!sisemi muache kusoma sana hapana...nipeni majibu hapa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha.. Inawezekana baadae akija kujisikiliza akashangaa na kuja kujaribu kuikana kauli yake, na kujaribu kuipa ufafanuzi.. Pro Lumumba hamna sababu za kuja kusifia hapa, katibu wenu ameshathibitisha kile ambacho wapenda maendeleo wote walikuwa na shaka nacho..
Alikuwa anajielewa.Sioni sababu ya upinzani kushiriki huu uchaguzi. Kumbe vyama vya upinzani vinashindana na CCM pamoja na dola. Katibu mkuu wa CCM bora akae kimya maana hajielewi. Kalewa vibaya mno.