Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

Hakika kipindi kile tulipita zama za giza na kamwe zisijirudie yaani na viongozi wapumbavu wanaongalia progresses zao tu individually. Yaani doctor mzima unakosa kabisa akili ya kukonvice umma unataka kutumia dola kuua ili ubaki madarakani.

Ndiyo Mana msu.**** anawadharau Sana hawa wasomi yaani usomi wao Ni kutishana hamna weledi wowote.

Nauhakika wakirevisit elimu yetu Bashiru hata form hajamaliza aliruka stage.
 
😄😄😄😄 Wao kusoma Sana ndio sifa kuu sawa Elimu haina Mwisho lakin Mfano kwa mzee wetu Mwakyusa Anasema Ana Digree9 + Na Umri wake Kwa Sasa hana manufaa nayo sana Zaid ya sifa tu. Kwa wanaemzunguka
 
Ajisikilize tena leo hii[emoji1787]
Ha ha ha ha.. Inawezekana baadae akija kujisikiliza akashangaa na kuja kujaribu kuikana kauli yake, na kujaribu kuipa ufafanuzi.. Pro Lumumba hamna sababu za kuja kusifia hapa, katibu wenu ameshathibitisha kile ambacho wapenda maendeleo wote walikuwa na shaka nacho..
 
Hivi haya mabandiko kwa sasa Bashiru huwa anayapitia especially kipindi hiki?
 
Kwa sasa sijui ni kipi kinampatia nguvu au msukumo wa kuwalalamikia wenzake wanaokula kwa urefu wa kamba zao

Ikiwa dola ndio nguzo kuu ya kuwafanya muundelee kuwepo madarakani

Na hao wanaosifu kuupiga mwingi wanaiogopa dola ambayo uliona ndio mwarobaini wenu wa kuifanya CCM iwe hai hadi Leo

Viongozi wetu wanapaswa kuwa wanayasema haya au kukosa kipindi hicho na wao wapo wanatumia mavieite kwa maneno ya Polepole
 
Inasikitisha sana, haipaswi kuwa hivi.
 
Sioni sababu ya upinzani kushiriki huu uchaguzi. Kumbe vyama vya upinzani vinashindana na CCM pamoja na dola. Katibu mkuu wa CCM bora akae kimya maana hajielewi. Kalewa vibaya mno.
Alikuwa anajielewa.
 
JamiiForums1397431097.jpg

4R za mama Abdul ni utapeli mtupu , fikiria huyu aliyesimamia wizi wa kura leo hii bado yuko serikalini na anapeta.
 
Back
Top Bottom