Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kila lenye mwanzo basi mwisho uko karibuUdikteta umeshatia timu kwenye nchi hii tusubiri tu speech kama hizi
View attachment 1367082
Sisi yetu ni macho tuSiro atakuambia hajaona
Msajili atakuambia hamja andika barua ya malalamiko..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jina huwa natamani nikuite lakini roho inasita maana najiambia uko kazini unatafuta mkate ili watoto wale na mpemba mwenye duka aache kukutafunia vyako.Hamna jipya mbunge gani kazuiwa kufanya mkutano jimboni kwake!
Wewe utakavyoita na huyo mpemba ni wewe tafuna ukimaliza kutafuna kwangu geukia na familia yako!Kuna jina huwa natamani nikuite lakini roho inasita maana najiambia uko kazini unatafuta mkate ili watoto wale na mpemba mwenye duka aache kukutafunia vyako.
Sio kwa akili yako maswali kama haya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bashiru Ally ni kutoka jimbo gani ?Wewe utakavyoita na huyo mpemba ni wewe tafuna ukimaliza kutafuna kwangu geukia na familia yako!View attachment 1367120
Kwa nini mbunge asiwe na uhuru kufanya mkutano nje ya jimbo lake?Hamna jipya mbunge gani kazuiwa kufanya mkutano jimboni kwake!
Una macho hutaki kuona.Huenda fadhila za mpemba zinakuhusu.Hamna jipya mbunge gani kazuiwa kufanya mkutano jimboni kwake!
Hamna jipya mbunge gani kazuiwa kufanya mkutano jimboni kwake!
Ngoja tuingie kaziniKipara Kipya ndiye nani, potelea mbali kama kuna anayehisi identity yake
Sent using Jamii Forums mobile app