Dkt. Bashiru Ally anafanya mikutano ya hadhara kama nani ?


Inasikitisha sana kwa jeshi la polisi kutumiwa kama kondomu.
 
Kufuatilia ilani ndio mpaka mkutano wa hadhara?Yaani mnasema ni ruksa CCM kufanya mikutano ya hadhara ila upinzani marufuku,shame!
 
Katibu wa chama tawala, lazma afanye hivyo sababu ana jukumu la kuisimamia serikali.
Kuhusu ulinzi wa polisi aliopewa na sababu ameomba kibali na kupewa ulinzi.
Kuhusu kilichotokea Tunduma ni zuio based on usalama wa wananchi, wewe na mimi tunaweza tusijue ila wanausalama professionals wakanusa hilo (tuheshimu kazi za watu)
 
Very interesting
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani waandishi wa Habari, naomba mniulizie kwa huyu Bashiru, je, anamfahamu Aldolf Hitler? Anaweza kumkosoa Hitler? Asante.
 
Dr.Bashiru ni katibu mkuu wa chama tawala...mwache afanye...hata hivyo fisiemu siyo chama ya kisiasa ni chama tawala...sijui kama mdau unalijua hili...
 
Kadanganye wajinga wenzio
 
Kuna jina huwa natamani nikuite lakini roho inasita maana najiambia uko kazini unatafuta mkate ili watoto wale na mpemba mwenye duka aache kukutafunia vyako.
Sio kwa akili yako maswali kama haya!

Sent using Jamii Forums mobile app
kijibia hoja kama ya mpuuzi huyu ni kumpa kichwa kuwa kuna watu wenye akili wanaomsoma,just ignore him mkuu.
 
Atakuwa anamsaidia raisi au mbunge au diwani wa eneo husika.

Si unajua raisi ni wa sisiemu
 
Hamna jipya mbunge gani kazuiwa kufanya mkutano jimboni kwake!
Hivi kweli unabisha kuwa wabunge wa upinzani mara nyingi sana wamenyimwa na polisi kufanya mikutano ya hadhara, tena majimboni mwao!?

Wabunge na wasio wabunge wa ccm wao sijawahi ona wakizuiwa kwa zile sababu za polisi sijui eti "taarifa za kitelijensia"

Inasikitisha sana kiwango hiki cha kinafiki ambacho hata sheitwani hana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…