Dkt. Bashiru Ally anafanya mikutano ya hadhara kama nani ?

Walimu hudhani kila mtu ni mwanfunzi wao wavumilieni muda ukifika wa kampeni watakuwa hawana kitu cha kuongea 'empty'
 

Unatatizo kichwani. Wahi matibabu.
 
Hawa Polisi wetu ndio unawaita professionals? Uwe mtii wa dhamira yako.
 
Sikujua kama wewe ni takataka hivi. Hebu nitajie mwana CCM hata mmoja aliewahi kuzuiwa kufanya mkutano na jeshi la polisi kwa kisingizio cha intelijensia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie Katibu wenu nae afanye.. si mna mupya sasa hivi tabu wapi.. wa zamani mumesema alikuwa hafanyi kazi zake..

Afate utaratibu sio ugangwe wenu..😊
KUSUDI MA POLICE CCM YAM KAMATE NA KUMUWEKA NDANI?! CCM WOOTE NI WAPUMBAVU NA WENDA AND WAZIMU
NA MASHETANI YALIYO KOSA UTU.
HII NCHU SIO YA BABA ZENU NA MAMA ZENU. HII NCHI NI YETU WOTE PUMBAVU KABISA MA CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…