Dkt. Bashiru Ally jiuzulu ili kulinda heshima yako, kupewa Ubunge wa kuteuliwa ni kudhalilishwa

Hivi wapinzani halisi wa chadema ni Bashiru, Hayati na Pole pole au ccm?
 
Alikuwa anadhalilisha wenzie kwa kuwafanya bidhaa. Kimsingi aliwanunua akina Silinde, Gekul, Mollel, kwa mtindo wa human trafficking, ngoja na yeye adhalilike.

Ole wake mtu amtegemeaye mwanadamu
Bashiru ana dhalilikaje?
 
Aliyataka mwenyewe,hivi unawezaje kumwambua mama kuwa ajiuzulu kumpisha mwanaume kuwa rais,kwakuwa nchi haina historia ta kuwa na rais mwanamke?
 
Una uhakika na hayo unayoyasema
 
Hapa ndipo elimu ya Tz inapotia mashaka, msomi kiwango cha Daktar unateseka namna hii kisa umepokwa cheo? Sawa mm na Form iv yangu inafikir hali itakuwaje?
 
Kumwambia ajiuzulu ni sawa, kikubwa tujue alikosea wapi. Yapo ambayo hatuyajui yanayomtesa huyu dogo.
 
Anatia huruma huyu kima!
 
Na jibu la swali umelificha kwenye Aya ipi?..nimesoma mara sita na sikuona response ya swali langu lililotokana na tabia isiyopendeza ya Bashiru..
Bashiru alipokuwa UDSM na mwanachama wa CUF alikuwa bingwa wa kuongea masuala ya haki, demokrasia, usawa na Utawala bora.

Alipoletwa CCM na Binamu yake Mrundi mwenzie Magufuli akawa ndiye ana ratibu dhuluma dhidi ya upinzani. Ameshiriki kuwanunua akina Gekul, Silinde na Patrobas. Ameshiriki kuiba uchaguzi wa Serikali za mitaa wa 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020. Na aliwahi kunukuliwa akisema "Tutatumia dola kubaki madarakani"
 
Wewe unajua alichokifanya huyo jamaa kwa mama hadi umtetee hivyo?
 
Kibaya zaidi walimtaka ajiuzulu umakamu huku wakijua kinachoendelea. Ndo maana anateseka sana.
 
Mbona hamumwambii mbowe ajiuzuru kulinda heshima yake?
Au yeye hastahili heshima?
 
Kibaya zaidi walimtaka ajiuzulu umakamu huku wakijua kinachoendelea. Ndo maana anateseka sana.
Harafu anajificha kwenye kofia ya Ustaadh kumbe mnafiki tuu zilikua harakati mbaya sana hakujua kuwa kumbe Tanzania ina Watanzania walijua kale kakikundi kao ndio Watanzania pekee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…