Dkt. Bashiru Ally jiuzulu ili kulinda heshima yako, kupewa Ubunge wa kuteuliwa ni kudhalilishwa

Muache ale, wanasiasa wote hata wasio bungeni wanatamani kwenda bungeni kutengeneza maisha yao, sio upinzani wala chama tawala, Bashiru aachwe kusimangwa kilichomkuta ni ajali tu za kisiasa ambazo huwakuta wengi.
Aendeshe gari kilevi apate ajali alafu ya kawaida!!!
Amelipwa anachostahili
 
Dr. Bashiru kaza hapo hapo, kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.... mbona kiba mdee hawana chama na bado wanakula mshahara na marupurupu
[emoji3] watz Ni wanafique sanaaa.
 
Nawambia bashiru ni mtu makini basi nyie hamjui.kwa sasa atulie.fungu lake lipo hata kama sio leo nawaambia kuna siku bashiru atalipwa.

Naamini alitimiza wajibu.
Kuhusu huyu Bashiru imeisha hiyo arudi kushika chaki UDSM..Kutolewa kwenye nafasi ya KMK hata mwezi haujaisha ni dharau ya hali ya juu
 
BASHIRU kwa sasa hana tofauti na wale COVID-19, mbunge wa hisani ya kupewa
 
Bashiru ktk uongozi wake Ali overspeed
Roho take mbaya+roho ya mwendazake speed 1000.
Wenzie walikuwa wamwangalia kwenye binocular
Bashiru bado ni mbunge na baada ya miaka mitano tunampa uongozi mwingina nyie roho mbaya na mafisadi mtabaki mkilialia na safari inaendelea.
Bashiru sio type yenu watu wenye vyeti feki na cv za kubumba.
 
WAKUU HIVI KATIBU WA CCM ANALIPWA ZAIDI YA MBUNGE?
 
Hii inatufundisha kua uongozi ni dhaman ukipewa fanya kwa weledi, simamia misingi ya haki na utu, chunga maneno usemayo kila unapotakiwa kuongea kama kiongozi.
 
Muache ale, wanasiasa wote hata wasio bungeni wanatamani kwenda bungeni kutengeneza maisha yao, sio upinzani wala chama tawala, Bashiru aachwe kusimangwa kilichomkuta ni ajali tu za kisiasa ambazo huwakuta wengi.
Sielewi kwanini huyu mtu anasakamwa sana
 
Hivi unajua kwa mwezi mmoja na siku kadhaa alizo hudumu kama Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu amejua siri kiasi gani za nchi! Unafahamu uzito wa hiyo nafasi? Acha kumchochea aanze kutunishiana misuli na STATE kwa kususa Ubunge, atashughurikiwa.
 
Kwa hiyo kulinda heshima yake ni kutunishia mishuli state?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…