Dkt. Bashiru Ally jiuzulu ili kulinda heshima yako, kupewa Ubunge wa kuteuliwa ni kudhalilishwa

Swali lilikua Nani kawanunua Nyalandu na mwenzie waliojoin chama Jana? Manake umesema wote waliojiunga kipindi chake aliwanunua, hivyo nikataka kujua kama pia aliacha amesaini cheque ya Nyalandu?!
 
By the way utampa wewe ajira ya mshahara wa milioni 11 kwa mwezi, sitting allowance, V8, mafuta, Bima ya afya daraja la kwanza?
Kipi bora? Mshahara mzuri au heshima? Nyie ndio huwa mnakubali kudhalilishwa kisa tu unaangalia mshahara.
 
Hao ndio wasomi wetu wasio weza kujitegemea Dr mzima unawaza kuteuliwa
 
Hapana kujiuzuru ni uoga, atapambana akiwa ndani na si nje,ipo siku tu Bashiru atarudi tena kwa kishindo. Atafanya kama Ruto wa Kenya anavyomfanya uhuru akose amani, narudia tena hakuna kutoka ,hakuna mwenye hati miliki ya CCM haya mambo ni ya kupita tu.
 
Nafikiri mnatoa hoja dhaifu kutokana na uelewa wenu.Bashiru ni senior lecturer wa UDSM.Ana uwezo wa kurudi UDSM na kuendelea kuwa lecturer,huku akiwa na amani.Na kufikikisha miaka 65 ,akapata mafao yake akatulia.Bashiru si wababaishaji kina Nyarandu.
Mkuu kwani una utani na Ndugu Nyarandu? Unamuhusishaje na hii mada? Mtake radhi
 
Hivi kweli atakuwa na uwezo wa kusimama na kutoa hoja yoyote hapo bungeni?
 
Swali lilikua Nani kawanunua Nyalandu na mwenzie waliojoin chama Jana? Manake umesema wote waliojiunga kipindi chake aliwanunua, hivyo nikataka kujua kama pia aliacha amesaini cheque ya Nyalandu?!
Nyalandu asingeweza kurudi with Mwendazake alive. Mwendazake was insane
 

Nyalandu asingeweza kurudi with Mwendazake alive. Mwendazake was insane
Duh.. naomba nilitoe swali.. manake sidhani kama utanijibu karne hii..Ila nashukuru Kwa kunifahamisha maswala mengine ambayo sikuyajua awali...Mei mosi njema kwako.
 
Mind your own business please!
 
Uvumilivu ni muhimu sana kwenye utumishi wa Umma.
Kwanza hapo Bashiru anavuta parefu sana kuliko wewe.
 
Kazidiwa hadhi na waliowanunua leo waitara,gekul,silinde,mkumbo ni mawaziri.Yaani wakubwa zake.
 
Dua la kuwafedhehesha wote wale waliovuruga uchaguzi mkuu linaendelea fanya kazi
 
Bashiru bado ni mbunge na baada ya miaka mitano tunampa uongozi mwingina nyie roho mbaya na mafisadi mtabaki mkilialia na safari inaendelea.
Bashiru sio type yenu watu wenye vyeti feki na cv za kubumba.
Bado una mawazo haya ya mwendazake, hukomi!! πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…