Kabulala
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 695
- 936
Swali lilikua Nani kawanunua Nyalandu na mwenzie waliojoin chama Jana? Manake umesema wote waliojiunga kipindi chake aliwanunua, hivyo nikataka kujua kama pia aliacha amesaini cheque ya Nyalandu?!
Bashiru alipokuwa UDSM na mwanachama wa CUF alikuwa bingwa wa kuongea masuala ya haki, demokrasia, usawa na Utawala bora.
Alipoletwa CCM na Binamu yake Mrundi mwenzie Magufuli akawa ndiye ana ratibu dhuluma dhidi ya upinzani. Ameshiriki kuwanunua akina Gekul, Silinde na Patrobas. Ameshiriki kuiba uchaguzi wa Serikali za mitaa wa 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020. Na aliwahi kunukuliwa akisema "Tutatumia dola kubaki madarakani"