Dkt. Bashiru Ally Kakurwa atinga bungeni, ala kiapo cha kuwa mbunge. Bunge lazizima kwa shangwe

Dkt. Bashiru Ally Kakurwa atinga bungeni, ala kiapo cha kuwa mbunge. Bunge lazizima kwa shangwe

Tupo kwenye msiba mzito alafu watu wanalipuka kwa Shangwe...

Siyo kila anaekufurahia anakupenda...
 
Kwani hao wadada aliwafukuza kabisa kabisa kabisa ama bado bado
Usanii tu.. Mkuu Mbowe ni mtoto wa mjini na chama anakiendesha kwa maslahi yake. Sasa hawa Bavicha na Lissu wanataka wabunge wafukuzwe ili Mbowe pesa apate wapi??

Ngoja nikukumbushe, Zitto alivyofukuzwa Chama CDM walipelekwa mashtaka mpaka Mahakamani kupinga Zitto kuendelea kuwa Mbunge kwa tiketi ya CDM. Na walishinda Zitto akavuliwa Ubunge. Sasa jiulize, akina Halima wamepelekwa mahakamani au Bavicha wanapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa..
 
Katika Lugha Sanifu ya Kiswahili hatuna neno ' kubadirishwa ' kama ulivyoandika bali tuna neno sahihi la Kubadilishwa sawa?

Sasa kama Kuandika tu vyema Kiswahili mbele ya Werevu huwezi Maudhui yako ( Content ) tutakuwa na uhakika nayo vipi?

Huna IQ ya Kupambana na Mimi Brainiac ( All - Rounder ) hivyo acha Kunipotezea muda wangu na bakia na huo Upumbavu ( Ujuha ) wako.
Tirades zote hizi unazi spring up kutoka Dunia gani si ajabu zina seep through your vegetated subconscious.

Lakini looking back now naona tatizo lako kubwa linasababishwa kugubikwa na terminal inferority complex - ndio maana unashindwa to put across hoja zako in a civilised manner, you are simply hiding your skewed traits by calling people names, he goes "mimi all-rounder, huna IQ,mpubavu (juha)" displaying your inferiority complex at its ZENITH!!

Please revisit my revised #124 comments sina shaka kuna kitu utajifunza jinsi ya kuheshimu binadamu wenzako hata kama maoni yao huyapendi.
 
Absolutely Rubbish!!
 
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa, ambapo taarifa zinadokeza kwamba bunge zima limelipuka kwa shangwe baada ya kula kiapo.

Nachukua nafasi hii kumpongeza Mh Balozi Bashiru kwa hatua hii mpya.

Mungu ibariki Tanzania.

Kutoka level za mbali hadi level za akina Halima Mdee
 
Dada Wacha kudanga utulie na mume
We Mama naona imekuuma mimi kumsema mumeo,

Mama tulia huwezi kushindana na forums,huwezi kumlinda mumeo kwenye kila post,

Tulia uangalie nyumba yako usije ukaachika tena kama mwanzo na kuwapa tabu wazazi wako huko Kijijini.
 
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa, ambapo taarifa zinadokeza kwamba bunge zima limelipuka kwa shangwe baada ya kula kiapo.

Nachukua nafasi hii kumpongeza Mh Balozi Bashiru kwa hatua hii mpya.

Mungu ibariki Tanzania.

We huwajui wabongo, pale walikuwa wanafanya mockery tu. Alivyopanda walilalamika haohao. Yeye ashukuru Mungu wake amepewa hata huo ubunge Kidata alirudishwa akanyang'anywa hadi ubalozi.
 
Back
Top Bottom