Dkt. Bashiru Ally Kakurwa atinga bungeni, ala kiapo cha kuwa mbunge. Bunge lazizima kwa shangwe

Dkt. Bashiru Ally Kakurwa atinga bungeni, ala kiapo cha kuwa mbunge. Bunge lazizima kwa shangwe

Hivi ndivyo hali ilivyokuwa, ambapo taarifa zinadokeza kwamba bunge zima limelipuka kwa shangwe baada ya kula kiapo.

Nachukua nafasi hii kumpongeza Mh Balozi Bashiru kwa hatua hii mpya.

Mungu ibariki Tanzania.

Looh!
 
Kwanza stupid mwenyewe na ukoo wako! Nimekuuliza, una ushahidi Tena wenye vielekezo ili kuthibitisha kauli yako? Unakimbilia kutukana! Ndugu, enzi za kujitoa ufahamu kusema yasiyo na ushahidi ili tu umchafue mtu zimekwenda na mwendazake! Huyu aliyepo Hana muda na majungu! Itoshe kukufahamisha kuwa, nafasi za uteuzi hazipo Tena!
Kama unataka ushahidi mwambie Mbowe aende Mahakamani ashtaki tumletee ushahidi..
 
Kama unataka ushahidi mwambie Mbowe aende Mahakamani ashtaki tumletee ushahidi..
Point of correction fisadi mchovu, umletee na siyo tumletee! Kuwa maskini usiwaingize wengine waiohusika! Jisemee mwenyewe!
 
Point of correction fisadi mchovu, umletee na siyo tumletee! Kuwa maskini usiwaingize wengine waiohusika! Jisemee mwenyewe!
Mimi kuwa maskini hakuondoi Mbowe anapokea pesa za kina Mdee we Bawacha.

Ndio maana mpaka leo Mbowe yuko zake kimya anatafuna Kuku tu Dubai
 
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa, ambapo taarifa zinadokeza kwamba bunge zima limelipuka kwa shangwe baada ya kula kiapo.

Nachukua nafasi hii kumpongeza Mh Balozi Bashiru kwa hatua hii mpya.

Mungu ibariki Tanzania.

Hiyo inaitwa mpanda ngazi hushuka.
 
coincidence mkuu, ingekuwa kila mtu anahukumiwa kwa mdomo. ungekuwa wa kwanza!!!
Hapana chief, mdomo una nguvu kubwa sana ya kuumba, kama ni matokeo hata mimi nayaona katika maisha yangu pia kwa namna mbalimbali.
 
You don't have evidence right? Acha kubwabwaja kwani huna utakachopata kutoka unakodhani unawahangaikia! Katafute kazi uingize kipato kwani bando zile za bure hutozipata kutoka kwa kina polepole na bashiru maana wamekuwa yatima!
Mwambie mama anapruni kimya kimya Hana papara Wala haraka 🤣🤣
 
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa, ambapo taarifa zinadokeza kwamba bunge zima limelipuka kwa shangwe baada ya kula kiapo.

Nachukua nafasi hii kumpongeza Mh Balozi Bashiru kwa hatua hii mpya.

Mungu ibariki Tanzania.

Duh [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom