Dkt. Bashiru Ally Kakurwa atinga bungeni, ala kiapo cha kuwa mbunge. Bunge lazizima kwa shangwe

Dkt. Bashiru Ally Kakurwa atinga bungeni, ala kiapo cha kuwa mbunge. Bunge lazizima kwa shangwe

Hahahaha kweli kuishi mjini kunahitaji mipango
Mbowe mtoto wa mjini haswa, akifuatiwa na Lema..

Sugu kidogo nae wa mjini mjini ndio maana kama kashtuka hivi yeye wala humuoni kwenye harakati za mitandaoni kama hao akina Heche sijui Boni. Yuko bize na Hotel yake..
 
Wale kila Mbunge anampa Mbowe laki 5 kila mwezi.. Sasa fanya wabunge 20 × 500,000.

We unafikiri kuna Mchagga mjinga?? Hizo wanagawana Mbowe na Lema akina Mnyika wameachwa waimarishe chama
Hivi waliobaki bado wanampa Mbowe ?
 
Mimi wajibu wangu ni kuweka wasifu wa Dr.Bashiru!
 
Bunge Kuzizima kwa Shangwe haimaanishi kuwa Wanakupenda na Kukukubali tena hao Wanaoshangilia hivyo Mioyoni mwao Wanamcheka, Wanamng'ong'a na Wanamsindikiza na Mibonge ya Mitusi.
 
Back
Top Bottom