Dkt. Bashiru Ally Kakurwa atinga bungeni, ala kiapo cha kuwa mbunge. Bunge lazizima kwa shangwe

Wewe Cheka Tu
Huko kwenye ubunge ndo anapiga hela
Sasa ubunge unahela gani ukikompea na Kmk,yaani pale atakuwa mtu tu kukaa nyumbani na kuzurura mitaani,ila kwa cheo cha Kmk kiongozi kina marupurupu kibao,
 
Unaleta mzaha.

Weka mshahara WA mbunge na katibu mkuu KIONGOZI.
Usisahau posho zao.
Sawa lkn vigezo vya ubunge si kujua kusoma na kuandika tu na wapo wengi meza moja, lakini katibu mkuu ni mmoja tu na lazma upige shule kisawasawa
 
Kikubwa watoto waende CHOONI.

Back
Top Bottom