Dkt. Bashiru Ally Kakurwa atinga bungeni, ala kiapo cha kuwa mbunge. Bunge lazizima kwa shangwe

Dkt. Bashiru Ally Kakurwa atinga bungeni, ala kiapo cha kuwa mbunge. Bunge lazizima kwa shangwe

Ingemake sense kama wange PA Ndugai aliyewaapishia kibarazani.....!!
Wao shida yao sio pesa.. walitaka tu Bunge lijulikane lina upinzani.

Mbowe na Lema wamewauza hao kwa Ndugai wamevuta zao mkwanja wakatembea mbele. Na bado wanakula monthly mishahara ya kina Mdee.. Mchagga sio mjinga mkuu
 
Hata mi ningekuwa bungeni ningepiga makofi Sana.Kwa Sasa bashiru na kina bajaji meza moja sasa
 
Cheo changu we kinakuhusu nini? Unataka kunifahamu? Fuata yale ya msingi. Chunga mdomo wako, hilo ni funzo muhimu sana kama unataka kuishi na kuziona siku njema
Mbona unahamisha magoli mkuu?

Okay unasema hakuchunga mdomo wake,je unaweza kunipa tafsiri kua alitoa maneno gani? Funguka hapa with vivid evidence.
 
Mbowe anapokea pesa anagawana na Lema. We kaa pigania chama ukishindia ugali dagaa..

Stupid
Kwanza stupid mwenyewe na ukoo wako! Nimekuuliza, una ushahidi Tena wenye vielekezo ili kuthibitisha kauli yako? Unakimbilia kutukana! Ndugu, enzi za kujitoa ufahamu kusema yasiyo na ushahidi ili tu umchafue mtu zimekwenda na mwendazake! Huyu aliyepo Hana muda na majungu! Itoshe kukufahamisha kuwa, nafasi za uteuzi hazipo Tena!
 
Back
Top Bottom