Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Mbunge mvuja jasho? Mbona wanapiga pesa tu za kutosha
Usanii tu.. Mkuu Mbowe ni mtoto wa mjini na chama anakiendesha kwa maslahi yake. Sasa hawa Bavicha na Lissu wanataka wabunge wafukuzwe ili Mbowe pesa apate wapi??Kwani hao wadada aliwafukuza kabisa kabisa kabisa ama bado bado
Tirades zote hizi unazi spring up kutoka Dunia gani si ajabu zina seep through your vegetated subconscious.Katika Lugha Sanifu ya Kiswahili hatuna neno ' kubadirishwa ' kama ulivyoandika bali tuna neno sahihi la Kubadilishwa sawa?
Sasa kama Kuandika tu vyema Kiswahili mbele ya Werevu huwezi Maudhui yako ( Content ) tutakuwa na uhakika nayo vipi?
Huna IQ ya Kupambana na Mimi Brainiac ( All - Rounder ) hivyo acha Kunipotezea muda wangu na bakia na huo Upumbavu ( Ujuha ) wako.
Tirades zote hizi unazi spring up kutoka Dunia gani si ajabu zina seep through your vegetated subconscious.
Lakini looking back now naona tatizo lako kubwa linasababishwa kugubikwa na terminal inferority complex - ndio maana unashindwa to put across hoja zako in a civilised manner, you are simply hiding your skewed traits by calling people names, he goes "mimi all-rounder, huna IQ,mpubavu (juha)" displaying your inferiority complex at its ZENITH!!
Please revisit my revised #124 comments sina shaka kuna kitu utajifunza jinsi ya kuheshimu binadamu wenzako hata kama maoni yao huyapendi.
Kutoka level za mbali hadi level za akina Halima MdeeHivi ndivyo hali ilivyokuwa, ambapo taarifa zinadokeza kwamba bunge zima limelipuka kwa shangwe baada ya kula kiapo.
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mh Balozi Bashiru kwa hatua hii mpya.
Mungu ibariki Tanzania.
We Mama naona imekuuma mimi kumsema mumeo,Dada Wacha kudanga utulie na mume
We huwajui wabongo, pale walikuwa wanafanya mockery tu. Alivyopanda walilalamika haohao. Yeye ashukuru Mungu wake amepewa hata huo ubunge Kidata alirudishwa akanyang'anywa hadi ubalozi.Hivi ndivyo hali ilivyokuwa, ambapo taarifa zinadokeza kwamba bunge zima limelipuka kwa shangwe baada ya kula kiapo.
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mh Balozi Bashiru kwa hatua hii mpya.
Mungu ibariki Tanzania.