Dkt. Bashiru Ally kuwa tena Katibu Mkuu wa CCM?

Ramli chonganishi za waganga njaa wa Lumumba zimeanza ,huyo fola wako hawezi kurudi tena Kwenye hiyo nafasi huu ni muda wa kujifunza kuishi na njaa hapo Lumumba.
 
Kutoka bungeni kurudi chamani naona kama anazidi kuporomoshwa hata kama sio mbunge wa jimbo.
 
Kama kuna mtu alikuwa hajui maana ya uzandiki huu ndio uzandiki wenyewe. Yaani Bashiru kapewa ubunge wa mwezi mmoja ili ajipatie kipato? yaani mtu aliyekuwa KMK akose m11 ya kujikimu akisubiri mkutano mkuu umteue tena?, I can’t buy this.
Mkuu;
Hakuna mtu anayekuuzia kitu hapa! Uamuzi ni kukubali au kukataa ni wako!
 
Kutoka bungeni kurudi chamani naona kama anazidi kuporomoshwa hata kama sio mbunge wa jimbo.
Kumbuka harudi tu chamani bali anarudi kama Katibu Mkuu wa CCM Taifa!

Utanishangaza ukisema cheo cha ubunge ni kikubwa kuliko cheo cha Katibu Mkuu wa chama kilichoko madarakani!
 
Ya CCM tuwaachie CCM
Wanajua nini wanafanya
Hayatuhusu, sisi tunaangalia mstakhabali wa taifa. Let them keep their CCM an we will keep our citizenship!
Personally nilikuja kumsapoti sana Magufuli (pamoja na mapungufu yake niliyokemea) siyo kwa sababu ya uCCM wake bali kwa jinsi alivyokuwa akisimamia maslahi ya taifa tu.
 
Mkuu;
Hakuna mtu anayekuuzia kitu hapa! Uamuzi ni kukubali au kukataa ni wako!
Mbona tayari nimeshakataa kuuziwa matango pori mkuu, ulichoandika ni matamanio yako lkn sio uhalisia wenyewe, baada tu ya mama kuwa rais kiongozi mkubwa kuwa fired ni Bashiru ni vigumu sana tena kuwa right hand wake.
 
Yaaani Samia bana anawaweza kweli! "Samia ni Magufuli, na Magufuli ni Samia".... huku anaendelea kupiga chini misukule yote ya JPM na majizi mengine.

1. Wasiliana na CAG kama kule BOT kamaliza uchunguzi.
2. Muulize CDF alikuwa na "siri" gani aliyotaka kumwambia Rais Samia.

#kuna "watu" wanaweza kwenda jela!

Tusubiri.
 
Bashiru atulie kwanza akajifunze chama, Alipandisha Mabega mno, Kuna hivi ccm imekosa kabisa watu mnashindwa kufikiria nje ya box, wapo wanacha na vijana kibao, nyie mnawaza bashiru bashiru..basi mchukueni Lipumba Kabisa.
 
Misukule ipi ya JPM aliyoipigwa chini?

Anayeipiga chini misukule ya JPM ndiye anayeambiwa na CDF siri ambayo CDF alidokezwa na Rais Magufuli mwenye misukule!

Huyu CDF sio msukule wa JPM?

Hii nchi ina vituko!
 
Huyo Muhaya atuli kwanza akajifunze chama, Alipandisha Mabega mno, Kuna hivi ccm imekosa kabisa watu mnashindwa kufikiria nje ya box, wapo wanacha na vijana kibao, nyie mnawaza bashiru bashiru..basi mchukueni Lipumba Kabisa.
Kulikuwa kuna umuhimu gani wa kutaja kabila lake?

Unadhani usingetaja kabila lake basi hoja yako isingejisamia?
 
Subirini kwanza Takukuru wakamilishe uchunguzi wao pale BOT.

Mamlaka ya Urahis inavyanzo vingi vya uchunguzi na taharifa, hivyo tusifikiri kuwa Rais alimtumbua kwenye nafasi ya Katibu kiongozi kwa bahati mbaya na kumpa ubunge.

Rais kusema yeye na Mwendazake hawana tofauti, kila mtu alilielewa Kivyake hilo neno.

Ila yote yanawezeka kwani CCM ni ile ile, wizi nao ni ule ule, Bunge nalo ni lile lile apana nazani kilichobadilika kwa sasa ni wabunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…