Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ile ripoti ya BOT ishatoka?
Mwenyezi Mungu atusimamie!
Kama hujui, Makonda na Dkt. Bashiru hawana uhusiano wa karibu!Makonda anampigigia debe Bashiru ili amumbukwe mbele ya safari
Asante!Hoja yako naielewa na nakubaliana na wewe.
Kwani repoti ya BOT inamuhusu nini?Kwani ile ripoti ya BOT ishatoka?
Mkuu;Kama kuna mtu alikuwa hajui maana ya uzandiki huu ndio uzandiki wenyewe. Yaani Bashiru kapewa ubunge wa mwezi mmoja ili ajipatie kipato? yaani mtu aliyekuwa KMK akose m11 ya kujikimu akisubiri mkutano mkuu umteue tena?, I can’t buy this.
Tetesi za pesa kuhidhinishwa kinyemela kipindi ambacho Hayati anaumwa...Haijajulikana kama alihusika ama la?Kwani repoti ya BOT inamuhusu nini?
Shukrani kwa kutimiza uhuru wako wa kutoa maoni hata kama niya kijinga!Ramli chonganishi za waganga njaa wa Lumumba zimeanza ,huyo fola wako hawezi kurudi tena Kwenye hiyo nafasi huu ni muda wa kujifunza kuishi na njaa hapo Lumumba
Kumbuka harudi tu chamani bali anarudi kama Katibu Mkuu wa CCM Taifa!Kutoka bungeni kurudi chamani naona kama anazidi kuporomoshwa hata kama sio mbunge wa jimbo.
Hayatuhusu, sisi tunaangalia mstakhabali wa taifa. Let them keep their CCM an we will keep our citizenship!Ya CCM tuwaachie CCM
Wanajua nini wanafanya
Pesa kuidhinishwa na kupelekwa wapi? Nani aliyeidhinisha?Tetesi za pesa kuhidhinishwa kinyemela kipindi ambacho Hayati anaumwa...Haijajulikana kama alihusika ama la?
Mbona tayari nimeshakataa kuuziwa matango pori mkuu, ulichoandika ni matamanio yako lkn sio uhalisia wenyewe, baada tu ya mama kuwa rais kiongozi mkubwa kuwa fired ni Bashiru ni vigumu sana tena kuwa right hand wake.Mkuu;
Hakuna mtu anayekuuzia kitu hapa! Uamuzi ni kukubali au kukataa ni wako!
Misukule ipi ya JPM aliyoipigwa chini?Yaaani Samia bana anawaweza kweli! "Samia ni Magufuli, na Magufuli ni Samia".... huku anaendekea kupiga chini misukule yote ya JPM na majizi mengine.
1. Wasiliana na CAG kama kule BOT kamaliza uchunguzi.
2. Muulize CDF alikuwa na "siri" gani aliyotaka kumwambia Rais Samia.
#kuna "watu" wanaweza kwenda jela!
Tusubiri.
Kulikuwa kuna umuhimu gani wa kutaja kabila lake?Huyo Muhaya atuli kwanza akajifunze chama, Alipandisha Mabega mno, Kuna hivi ccm imekosa kabisa watu mnashindwa kufikiria nje ya box, wapo wanacha na vijana kibao, nyie mnawaza bashiru bashiru..basi mchukueni Lipumba Kabisa.