Dkt. Bashiru Ally kuwa tena Katibu Mkuu wa CCM?

wewe umeongea na CAG na CDF?
 
Dr.Bashiru Ni Jembe Sana.Akipewa U-Katibu MKUU CCM,Chama Chetu kitafaidika Sana.HALAFU,ndo itokee na Hiyo Nafasi ya Polepole ateuliwe MAKONDA,ingekuwa Safi Sana.
 
Fat chance.

Hapo CCM itakuwa imekwisha!
 
Wakati huu tunataka Katibu mkuu aliekulia kwenye chama .alie kua kwenye chama akiwa bado makamasi yana mtoka puani.ccm ni chama kikubwa hatutaki kurudia makosa ya kuokoteza viongozi majalalani.Kwa kifupi tuna taka Katibu mkuu kada na awe kada kwelikweli.
 
Misukule ipi ya JPM aliyoipigwa chini?

Anayeipiga chini misukule ya JPM ndiye anayeambiwa na CDF siri ambayo CDF alidokezwa na Rais Magufuli mwenye misukule!

Huyu CDF sio msukule wa JPM?

Hii nchi ina vituko!
Tujipe muda, badala ya kupiga ramli.

Unahisi ni kwa nini Samia hakutaka kuendelea na Dr Bashiru kama katibu mkuu kiongozi? Maana ndio kwanza alikuwa na mwezi mmoja kwenye nafasi hiyo.

Unless hutegemei kama Samia atakuwa mwenyekiti wa CCM. Lakini kama atakuwa, je atakubali Dr Bashiru ndio awe katibu mkuu wake? Naona kama hii ni mantiki rahisi tu. No?
 
Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Sir Harold Wilson aliwahi kusema, ''A week is a long time in politics''...
Sawa mkuu inaonekana umeumia sana Bashiru kutolewa Ukatibu mkuu kiongozi kwani Ubunge haumtoshi jamani huo Ukatibu wakapewa Wengine?
 
Hata asipojiuzuru hakuna ubaya. Mzee Makamba aliwahi kuwa mbunge na katibu mkuu wa CCM. Nafikiri hata Kolimba
 
Misukule ipi ya JPM aliyoipigwa chini?

Anayeipiga chini misukule ya JPM ndiye anayeambiwa na CDF siri ambayo CDF alidokezwa na Rais Magufuli mwenye misukule!

Huyu CDF sio msukule wa JPM?

Hii nchi ina vituko!
Unatumia mantiki sana kujenga hoja zako.

Hakika, unatufundisha sie vijana namna ya kujenga hoja bila kuhitirafiana na utu wa mtu.

Kongole sana Mzee.
 
Huyo Muhaya atuli kwanza akajifunze chama, Alipandisha Mabega mno, Kuna hivi ccm imekosa kabisa watu mnashindwa kufikiria nje ya box, wapo wanacha na vijana kibao, nyie mnawaza bashiru bashiru..basi mchukueni Lipumba Kabisa.

Kulikuwa kuna ulazima wa kutaja kabila lake kwenye hoja yako? Ukiambiwa una asili ya ubaguzi si ajabu utatokwa povu
 
Misukule ipi ya JPM aliyoipigwa chini?

Anayeipiga chini misukule ya JPM ndiye anayeambiwa na CDF siri ambayo CDF alidokezwa na Rais Magufuli mwenye misukule!

Huyu CDF sio msukule wa JPM?

Hii nchi ina vituko!

Tena ongezea hapo huyo huyo CDF ni Pure Sukuma maana naona wale wa Ufipa sasa hivi wana chuki na Wasukuma iliyopitiliza
 
Acquired stupidity.
 
Nadhani hii nafasi ilikuwa inamfaa sana Nape Nnauye lakini akaamua kutafuta ''mshahara mkubwa zaidi'' na cheo cha Uwaziri kupitia ubunge!

Kumbe nchi hii Uwaziri unatafutwa tu na kupatikana? Amazing 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…