Dkt. Bashiru Ally kuwa tena Katibu Mkuu wa CCM?

time will tell ,everybody is entitle to his/her opinion and i respect that .for this thread i hold adifferent opinion which is contrary. let us wait and see.
 
Mama aanze na safu ingine hats huko chamani
 
Ramli zimeshaanza tena
 
Hakuna mtandao unaofatiliwa kama jamii forum
 
Acha porojo wewe.. kwahiyo ubunge wake utatenguliwa? Yan Mtu atolewe kwenye circle ya uongozi wa nchi ya ukatibu kiongozi ampe ukatibu mkuu CCM ili aanze kuwasumbua kina Kinana na Makamba, kuita kuwahoji. Haitotokea
 
Ukweli utabaki huu tu hata mkibadilishana makoti mara mbili mbili nyie ni chawa wa Taifa mnaotukamua walalahoi kwa kutulipisha kodi huku...msafara wa Rais magari 70 mpk 100..!Huo ndio uzalendo !!! Tena ma v8 tupu Mijizi mikubwa..halafu mnatuita wanyonge....
 
Aliifanya ccm kua chama cha wauaji,uvccm mwenyekiti wake alisimama hadharani n kusema liisu n wapinzani ni watu wakutolewa roho,mama amrudishe kakuru kwao burundi akaongoze chama cha nkuruzinza
 
Siwezi kusema amefanikiwa katika malengo yote ya CCM lakini ninaweza kusema amefanikiwa katika mengi.
Nitakupa mifano halisi ya mafanikio ya Dr. Bashiru Kama katibu mkuu wa ccm ambayo ni :-
1: Ununuzi wa wabunge wa vyama
vingine vya siasa
2: Uharibifu wa chaguzi za serikali za
Mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020.
3: Kugawa vyeo kikanda.
Mengine ongeza.
 
Kwa uovu anaotuhumiwa nao hafai kabisa, pia ni mtu aliyeshiriki siasa za kuchafuana, kudhulumu, wizi, na uonevu. hafai kabisa!
 
vyovyote vile itakavyokuwa tumejipanga tupo tayari kwa lolote
 
Nakuona CHAWA katika ubora wako , bila upambe ada za shule za watoto wenu hazilipwi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…