Dkt. Bashiru Ally kuwa tena Katibu Mkuu wa CCM?

Hiyo takataka ya kihutu toka Burundi ndiyo imefika mwisho wake. Tusubiri na ripoti ya BOT
 
Kwani Rashidi Kawawa naye aliwahi kukwapua hela BOT? Hebu tujuze.
 
M


Mi ni mwananchi mwenye imani na serikali yangu, nina imani na rais na wasaidizi wake

Sasa hapo wewe ndio utajua serikali ni ya chama gani
ooh ok. Nimekupata. So hata Cut ikichukua serekali we poa Tu Imani itakuwepo.
 
Hizo ni ndoto za mchana! Hiyo nafasi utaipata mwingine ambaye hukumtarajia. Kulikuwa na uharaka gani kumtoa Ikulu na kumfanya Mbunge kama lengo ni kumrudisha kuwa KM wa chama? Ukumbuke kuwa hata kabla ya kuondolewa Ikulu nafasi ya KM ilikuwa bado iko wazi. Mfano mzuri ni Polepole ambaye ni mbunge wa kuteuliwa na bado anafanya kazi zake za uenezi kwa sababu nafasi yake haijajazwa na mwingine.
 
Majizi makubwa yapo kwenye chama changu huku!!! alisikika Mwendazake akisema
 
Ifike hatua wapinzani wakubali tu kuwa ngoma za ccm hazidemkiki!!
 
PoYOYO ZA GENGE .....HIVI UMEONA WAPI MHISIWA WA UHAINI Akipewa heshima yeyote ?
 
Mkuu pamoja na speculations zako, naomba nikukumbushe kidogo. Mzee Kikwete alipokuwa Rais alimteua Mzee Makamba kuwa Mbunge wa Kuteuliw. Baada ya kupewa Uwenyekiti wa CCM, alimteua Mzee Makamba kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Sikumbuki kama aliacha kuwa Mbunge wa Kuteuliwa.
 
Siwezi kusema amefanikiwa katika malengo yote ya CCM lakini ninaweza kusema amefanikiwa katika mengi.
Alijitoa muhanga kufagia nyumba ya chama ... Chama kimepata uhai mkubwa tangu kuruhusiwa ushindani wa vyama... Ushindi wa chama huyu ndo master mind ..Tumeshudia kelele (adimu) za Ccm Ccm Ccm ! ktk kipindi chake
 
Kama itakua hivyo ,itapendeza sana
 
Haiwezi kutokea katika ulimwengu wa sasa, chama kinakwenda kupata mtu mpya na kitasonga vizuri sana
 
PoYOYO ZA GENGE .....HIVI UMEONA WAPI MHISIWA WA UHAINI Akipewa heshima yeyote ?

Weka akiba ya maneno Mkuu,CCM inaweza kukushangaza. Mbona tuliambiwa Dr. Mpango alishiriki “kukwapua” Mabilion wakati wa ugonjwa wa JPM na bado akateuliwa kuwa VP,tukaaminishwa Doto James yuko under House arrest leo hii ni KM Wizara ya Viwanda na Biashara. So far hizo za “uhaini” ni tetesi tu ambazo Rais Samia kasema watu wanapigiwa ngoma na wao Wanademka.
 
Hapana. Najipa muda.

Kitendo cha kumtoa Dr Bashiru kwenye nafasi ya KMK haraka kinasema mengi sana.
MsemajiUkweli , nimeona leo nikusalimie tu. Upo salama?

Mfikishie salamu nyingi ndugu yetu Dr Bashiru. Mwambie CCM ina wenyewe!
 
🤔
 
Reactions: SMU
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…