Dkt. Bashiru anapata wapi ujasiri wa kufanya kazi na serikali hii ili hali Polepole haijulikani alipo!

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,480
Reaction score
7,443
Dk Bashiru Kakulwa alituaminisha kuwa mmoja wa watu ambao hawataki siasa za kihuni.

Nashangaa sana kumuona ameungana na wahuni wa CCM kiasi cha kutokuwa na huzuni juu ya kilichompata Humphrey Polepole.

Au ndio amendekeza njaa na kuungana na wahuni?

Hyocrites pharisees

 
Kama alifanya na Magufuli, huku Magufuli akiwa alifanya unyama huo huo, unataka aache kwenye hawa ili iweje?
 
Wahaya sijui walirogwa na nani. Wameitumikia CCM kwa hali na mali ila mkoa wao umetupwa na kutelekezwa. Wanaona sifa kuwa na vyeo ambavyo mwisho wa siku haviwafaidishi chochote.
Kuuinua mkoa wa Kagera linaendelea kuwa jukumu la kila mwenyeji wa Mkoa. Nani alijenga shule zilizojaa uchagani tangu awamu ya kwanza?, wachaga wenyewe walifanya hivyo.

Mkoa utainuliwa kiuchumi kwa kutegemea mchango wa kila mwenyeji na sio ufundi wa kulaumu na kukosoa.
 

Mojawapo ya kanuni za siasa ni kwamba 'hakuna urafiki wa kudumu wala uadui wa kudumu'
 
Watu wa Arusha na Kilimanjaro wakipewa fursa serikalini, siyo tu wanaingizana na kupeana fursa ila pia wanahakikisha wanasukuma miradi ya maana nyumbani kwao inayochochea uchumi wa mikoa yao. Wahaya hawajawahi kufanya hivyo.
 
Wanaishinda njaa ni wachache mkuuhaswa ikuingia kichwani
 
Watu wa Arusha na Kilimanjaro wakipewa fursa serikalini, siyo tu wanaingizana na kupeana fursa ila pia wanahakikisha wanasukuma miradi ya maana nyumbani kwao inayochochea uchumi wa mikoa yao. Wahaya hawajawahi kufanya hivyo.
Sio wahaya peke yao, mkoa wa Kagera una wanyambo, washubi, wahangaza, wasubi na wahaya.

Jukumu la kuujenga mkoa ni la sisi sote wenyeji wa mkoa.
 
Kwani Bashiru ndiye mlinzi wa Polepole? Kwanza Polepole yuko Cuba alikoachia kazi. Kama hayuko Cuna waulizwe Seikali ya Cuba
 
Wasomi wa tz binafsi wananichosha kama mzee mwandambo.
Madokta na maprofesa,dah...
 
Kuna kitu kinaitwa Njaaaa naa kumbuka sasa ivi serikali ni wakina mkojani na Bashiru mwenyewe ni mkojano na Polepole ni mkafiri so hatuna habari naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…