Dkt. Bashiru anatoa wapi ujasiri wa kutishia 'usalama' wa viongozi wa juu? Huu ni uhaini sio ukosoaji. Je, ana mahusiano na mataifa ya nje?

Anachofanya Bashiru ndicho alichofanya Lissu dhidi ya Magufuli. Mwambieni mama atulie tu kukosolewa ni haki ya kila raia kikatiba. Hoja zijibiwe kwa hoja.
Lakini Lisu alipigwa risasi 30 hadharani, na mama akasema hazikuwa risasi lakini nyie??? Acha watandikane kisiasa hakuna shida.
 
Tuna taifa la watu wapumbavu sana hakika. Hio nguvu mngeitumia kuyasema matatizo ya nishati za umeme na maji unadhani ingekuaje? Acheni upumbavu kabisa nyie mnaojipendekeza pendekeza.
Matatizo yetu kila siku tunayadili na yanasemwa haijaanza leo. Lakini sio kutishia usalama wa kiongozi
 
Anachofanya Bashiru ndicho alichofanya Lissu dhidi ya Magufuli. Mwambieni mama atulie tu kukosolewa ni haki ya kila raia kikatiba. Hoja zijibiwe kwa hoja.
Lissu alikosa lakini hakutishia usalama wa Kiongozi wa nchi
 
End ya CCM haizuiliki lakini nchi itabaki na Usalama wake na viongozi utakuwa ni kipaumbele. Ungependa akiingia rasia kutoka Upinzani usalama wake uwe shakani?
 
Bashiru na mjinga mmoja tu huwezi mtishia raisi kindezi hivyo. Mbona wakati akiwa na buyu la asali wakati wa jiwe hakuyasema haya? Kwani wakulima wa nchi hii lini walikuwa na afueni ya maisha?
Anaongea huku anacheka. Alichofanya sio siasa ni kutishia usalama wa kiongozi na kuingilia mfumo wetu wa kiutawala na demokrasia kwa kushinikiza machafuko.

Kipindi cha Magufuli alisema akiwa anahojiwa na chombo kikubwa cha Habari kuwa watatumia Dola kushika dola, kwa akili yake huyu anapenda machafuko na umwagaji damu.
 
Bashiru ni tone tu, chungu kimejaa hadi juu na ndani yake kumejaa akina Bashiru kibao. Sasa mnaamua wenyewe kupambana na chungu ama kukikumbatia chungu
 
Acha ujinga,

Kutoa maoni na Uhaini wapi na wapi!!!
 
Mh inamaana ile issue ya mbowe ya ugaid na kutishia usalama wa viongoz ilikua uzushi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nyie mafisadi (familia zote mnajijua) hii nchi sio mali yenu lazima tuwatimue, tuwakimbize, tuwatimue. Mwacheni Dr Bashiru.
Nyie mafisadi (familia zote mnajijua) hii nchi sio mali yenu lazima tuwatimue, tuwakimbize, tuwatimue. Mwacheni Dr Bashiru.
 
Tuna taifa la watu wapumbavu sana hakika. Hio nguvu mngeitumia kuyasema matatizo ya nishati za umeme na maji unadhani ingekuaje? Acheni upumbavu kabisa nyie mnaojipendekeza pendekeza.
Haya majitu ni majinga kupita ujinga wenyewe.
 
We nawe Sasa ndo umeandika nini?
eti kuongea kwa kujiamini kunahatarisha USALAMA wa viongozi.

Tunataifa la hovyo.
SI ungekaa kimya tu liuzi Gani hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…