MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
'Mifumo yetu ya kidemokrasia' nyambaf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kutesa kwa zamu!Basi, wafuasi wake wavumilie tu mashambulizi kama wenzao walivyovumilia.
Lakini Lisu alipigwa risasi 30 hadharani, na mama akasema hazikuwa risasi lakini nyie??? Acha watandikane kisiasa hakuna shida.Anachofanya Bashiru ndicho alichofanya Lissu dhidi ya Magufuli. Mwambieni mama atulie tu kukosolewa ni haki ya kila raia kikatiba. Hoja zijibiwe kwa hoja.
Matatizo yetu kila siku tunayadili na yanasemwa haijaanza leo. Lakini sio kutishia usalama wa kiongoziTuna taifa la watu wapumbavu sana hakika. Hio nguvu mngeitumia kuyasema matatizo ya nishati za umeme na maji unadhani ingekuaje? Acheni upumbavu kabisa nyie mnaojipendekeza pendekeza.
End ya CCM haizuiliki lakini nchi itabaki na Usalama wake na viongozi utakuwa ni kipaumbele. Ungependa akiingia rasia kutoka Upinzani usalama wake uwe shakani?Jamani eeeh....tunachotaka sisi wananchi ni kushuhudia the End of CCM.....kujua nani yupo nyuma ya Bashiru haitusaidii sisi wananchi.....
Yaaani mnavyopurukushana hivi sisi ndio furaha yetu......tunataka the end of njano na kijani...tumewachookaaaaa......miaka 60 yote hio na nyie watu gani msiochoka....
Anaongea huku anacheka. Alichofanya sio siasa ni kutishia usalama wa kiongozi na kuingilia mfumo wetu wa kiutawala na demokrasia kwa kushinikiza machafuko.Bashiru na mjinga mmoja tu huwezi mtishia raisi kindezi hivyo. Mbona wakati akiwa na buyu la asali wakati wa jiwe hakuyasema haya? Kwani wakulima wa nchi hii lini walikuwa na afueni ya maisha?
Acha ujinga,Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni.
Ila inastaajabisha kuona mtu kama Bashiru anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe. Ni kana kwamba hii nchi iko mikononi mwake na haogopi vyombo vya sheria na dola (ambavyo aliwahi kudai angetumia kubaki madarakani utawala uliopita)
Lakini pia anachofanya ni kuchochea mapambano, uasi, na matumizi ya njia za kuumizana katika mifumk yetu ya kidemokrasia. Maandano ndio kitu kikubwa Tanzania kimewahi kufanyika na kuogopwa lakini sio KUTISHIA USALAMA WA VIONGOZI
Kwa hali ya kawaida mtu ambaye ni mgeni katika chama na kuhudumu katika serikali kwa muda mfupi kuwa na kiburi cha kutishia Usalama wa kiongozi wa nchi bila woga
Tumeshaona viongozi kadhaa wa upinzani tangu tunapata uhuru waliosumbua lakini hakuna ambaye amewahi kutishia Usalama wa Kiongozi wa nchi.
Tusilitazame ili jambo au kauli katika jicho la kisiasa tu
Nani yuko nyumba ya Bashiru? Je, ametokea kuropoka yaliyokuwa moyoni mwake siku zote au alidhamiria kuyatoa ? Kuna nguvu ya nje ya Tanzania yetu anayojivunia? Ana asili ya Uraia nje ya Tanzania?
Mh inamaana ile issue ya mbowe ya ugaid na kutishia usalama wa viongoz ilikua uzushi 😂😂😂Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni.
Ila inastaajabisha kuona mtu kama Bashiru anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe. Ni kana kwamba hii nchi iko mikononi mwake na haogopi vyombo vya sheria na dola (ambavyo aliwahi kudai angetumia kubaki madarakani utawala uliopita)
Lakini pia anachofanya ni kuchochea mapambano, uasi, na matumizi ya njia za kuumizana katika mifumk yetu ya kidemokrasia. Maandano ndio kitu kikubwa Tanzania kimewahi kufanyika na kuogopwa lakini sio KUTISHIA USALAMA WA VIONGOZI
Kwa hali ya kawaida mtu ambaye ni mgeni katika chama na kuhudumu katika serikali kwa muda mfupi kuwa na kiburi cha kutishia Usalama wa kiongozi wa nchi bila woga
Tumeshaona viongozi kadhaa wa upinzani tangu tunapata uhuru waliosumbua lakini hakuna ambaye amewahi kutishia Usalama wa Kiongozi wa nchi.
Tusilitazame ili jambo au kauli katika jicho la kisiasa tu
Nani yuko nyumba ya Bashiru? Je, ametokea kuropoka yaliyokuwa moyoni mwake siku zote au alidhamiria kuyatoa ? Kuna nguvu ya nje ya Tanzania yetu anayojivunia? Ana asili ya Uraia nje ya Tanzania?
Nyie mafisadi (familia zote mnajijua) hii nchi sio mali yenu lazima tuwatimue, tuwakimbize, tuwatimue. Mwacheni Dr Bashiru.Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni.
Ila inastaajabisha kuona mtu kama Bashiru anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe. Ni kana kwamba hii nchi iko mikononi mwake na haogopi vyombo vya sheria na dola (ambavyo aliwahi kudai angetumia kubaki madarakani utawala uliopita)
Lakini pia anachofanya ni kuchochea mapambano, uasi, na matumizi ya njia za kuumizana katika mifumk yetu ya kidemokrasia. Maandano ndio kitu kikubwa Tanzania kimewahi kufanyika na kuogopwa lakini sio KUTISHIA USALAMA WA VIONGOZI
Kwa hali ya kawaida mtu ambaye ni mgeni katika chama na kuhudumu katika serikali kwa muda mfupi kuwa na kiburi cha kutishia Usalama wa kiongozi wa nchi bila woga
Tumeshaona viongozi kadhaa wa upinzani tangu tunapata uhuru waliosumbua lakini hakuna ambaye amewahi kutishia Usalama wa Kiongozi wa nchi.
Tusilitazame ili jambo au kauli katika jicho la kisiasa tu
Nani yuko nyumba ya Bashiru? Je, ametokea kuropoka yaliyokuwa moyoni mwake siku zote au alidhamiria kuyatoa ? Kuna nguvu ya nje ya Tanzania yetu anayojivunia? Ana asili ya Uraia nje ya Tanzania?
Haya majitu ni majinga kupita ujinga wenyewe.Tuna taifa la watu wapumbavu sana hakika. Hio nguvu mngeitumia kuyasema matatizo ya nishati za umeme na maji unadhani ingekuaje? Acheni upumbavu kabisa nyie mnaojipendekeza pendekeza.
Nonsense!.Yeye wakati anasurubu wenzake ( Membe et al) enzi hizo walikuwa wamevunja sheria gani?