Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Mlinyang'anywa vizimba vya CCM mlivyokuwa mmejimilikisha kifisadi hivyo chama kukosa miradi ya kujiingizia kipato wakati ninyi kila mwezi mnakunja noti bila jasho la umiliki miundo mbinu ya chama.Namchukia kwa mabaya aliyoyafanya,
Bashiru hakutimiza wajibu kama chama kilivyomtaka,
Bashiru alitekeleza matakwa ya muhuni mmoja aliyepatapo kushika hatamu... yeye pia namchukia hata baada ya sasa!!
Hayawani mashetani mlibinywa mpaka ndimi zikawatoka na damu puaniKama ambavyo ukitenda mema huishi kutajwa kwa wema na walio hai, ndivyo vivyo hivyo ukitenda mabaya hutajwa!!
Tutaendelea kumlaumu huyo chinja chinja sasa na hata baada ya sasa kwa vizazi na vizazi kutokana na ufedhuli wake.
CHINJA CHINJA HAWEZI KUWA MTENDA HAKI..!!!Mlinyang'anywa vizimba vya CCM mlivyokuwa mmejimilikisha kifisadi hivyo chama kukosa miradi ya kujiingizia kipato wakati ninyi kila mwezi mnakunja noti bila jasho la umiliki miundo mbinu ya chama.
Mtu anayenda haki halisia huwezi kumpenda hasa wewe ni miongoni mwa waharifu
NONSENSE..!!!Hayawani mashetani mlibinywa mpaka ndimi zikawatoka na damu puani
Hivi vitu vimepangwa na siyo vya kubahatisha.UVCCM wameanza kwa kusema Dr. Bashiru ajitafakari.
Kwangu mimi naona hata ubunge wanaweza kumnyanganya maana directly ame m-attack Samia kwa kauli kuwa MVIWATA hawapashiwi kuwa wapambe wa kusifia eti kuupiga mwingi etc etc
Time will tell!
Hakuna anaye juwa picha inachezwa ndani ya ccm but wengi watalia sana nikama watakuwa wamenasa kwenye mtego wa panya.... Huyu Bashiru muoneni hivi hivi... Ila hatahuyo anaye muita kiroboto ataenda piga magoti... Yaniiiiiiii🤐🤐🤐🤐🤐UVCCM wameanza kwa kusema Dr. Bashiru ajitafakari.
Kwangu mimi naona hata ubunge wanaweza kumnyanganya maana directly ame m-attack Samia kwa kauli kuwa MVIWATA hawapashiwi kuwa wapambe wa kusifia eti kuupiga mwingi etc etc
Time will tell!
Tawala za kiafrika mwiko kukosolewaHivi kama hakuna binadamu mkamilifu kwann binadamu hataki akosolewe?.
Inafikirisha sn.
Basi ndio majukumu ya kichama aliyopewa.Namchukia kwa mabaya aliyoyafanya,
Bashiru hakutimiza wajibu kama chama kilivyomtaka,
Bashiru alitekeleza matakwa ya muhuni mmoja aliyepatapo kushika hatamu... yeye pia namchukia hata baada ya sasa!!
Balozi Bashiru anateseka utadhani hakua kiongozi mkunwa kwenye serikali hii hii tena ngazi ya juu sanaDr Bashiru ni freemind, hategemei hisani kama uvccm. Ndio maana pamoja na kupewa ukatibu mkuu wa ccm na Magu ila bado alikuwa anaongea maneno yenye ukakasi mno dhidi ya ccm.
Naungana na wewe aiseeMnadhani kaongea kwa bahati mbaya tu? It's a calculated move
Naomba urudie tena neno free mind na umtaje huyo jamaa tena tusije kuanza kutolukuhesgimu kumbe mtoto alikuwa anachezea simu,free mind alieprint form moja ya uchaguzi?? Huyu alosema hataki cheo juu ya ukatibu mkuu?? Huyu aliye ua ndugu zetu kumvutia magu??Dr Bashiru ni freemind, hategemei hisani kama uvccm. Ndio maana pamoja na kupewa ukatibu mkuu wa ccm na Magu ila bado alikuwa anaongea maneno yenye ukakasi mno dhidi ya ccm.
Machungu yameshindwa kuvumilikaHuyu kajipiga risasi
Akikujibu nitagi nimkate kibaoAlisema ccm inategemea dola ili ishinde. Au hukuwepo?
Kusema yenyewe kuwa hataki cheo cha juu tena ni uhuru wa mawazo na akili. We unaweza kumuambia bosi wako kwa hapa nilipofikia sitaki tena cheo?? Yaani vuta picha wewe hapo unamuambia bosi wako.Naomba urudie tena neno free mind na umtaje huyo jamaa tena tusije kuanza kutolukuhesgimu kumbe mtoto alikuwa anachezea simu,free mind alieprint form moja ya uchaguzi?? Huyu alosema hataki cheo juu ya ukatibu mkuu?? Huyu aliye ua ndugu zetu kumvutia magu??
Ndio unalijua leo. Wacha wanyonshe kwanza yeye alisimamia udikiteta ndani ya chama na nje ya chama kwa mgongo wa Ccm mpya.Katoa maoni yake aachwe! Maisha ya kupangiana hata cha kusema ni uzwazwa wa kiwango cha juu sana.
Kwanza aloanzosha hiki kimsemo cha anaupiga mwingi alitukosea sana.......