Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Mlinyang'anywa vizimba vya CCM mlivyokuwa mmejimilikisha kifisadi hivyo chama kukosa miradi ya kujiingizia kipato wakati ninyi kila mwezi mnakunja noti bila jasho la umiliki miundo mbinu ya chama.Namchukia kwa mabaya aliyoyafanya,
Bashiru hakutimiza wajibu kama chama kilivyomtaka,
Bashiru alitekeleza matakwa ya muhuni mmoja aliyepatapo kushika hatamu... yeye pia namchukia hata baada ya sasa!!
Mtu anayenda haki halisia huwezi kumpenda hasa wewe ni miongoni mwa waharifu