Dkt. Bashiru ata-survive consequences za matamshi yake?

Dkt. Bashiru ata-survive consequences za matamshi yake?

Namchukia kwa mabaya aliyoyafanya,
Bashiru hakutimiza wajibu kama chama kilivyomtaka,
Bashiru alitekeleza matakwa ya muhuni mmoja aliyepatapo kushika hatamu... yeye pia namchukia hata baada ya sasa!!
Mlinyang'anywa vizimba vya CCM mlivyokuwa mmejimilikisha kifisadi hivyo chama kukosa miradi ya kujiingizia kipato wakati ninyi kila mwezi mnakunja noti bila jasho la umiliki miundo mbinu ya chama.

Mtu anayenda haki halisia huwezi kumpenda hasa wewe ni miongoni mwa waharifu
 
Kama ambavyo ukitenda mema huishi kutajwa kwa wema na walio hai, ndivyo vivyo hivyo ukitenda mabaya hutajwa!!

Tutaendelea kumlaumu huyo chinja chinja sasa na hata baada ya sasa kwa vizazi na vizazi kutokana na ufedhuli wake.
Hayawani mashetani mlibinywa mpaka ndimi zikawatoka na damu puani
 
Mlinyang'anywa vizimba vya CCM mlivyokuwa mmejimilikisha kifisadi hivyo chama kukosa miradi ya kujiingizia kipato wakati ninyi kila mwezi mnakunja noti bila jasho la umiliki miundo mbinu ya chama.

Mtu anayenda haki halisia huwezi kumpenda hasa wewe ni miongoni mwa waharifu
CHINJA CHINJA HAWEZI KUWA MTENDA HAKI..!!!
 
Hivi kama hakuna binadamu mkamilifu kwann binadamu hataki akosolewe?.

Inafikirisha sn.
 
UVCCM wameanza kwa kusema Dr. Bashiru ajitafakari.

Kwangu mimi naona hata ubunge wanaweza kumnyanganya maana directly ame m-attack Samia kwa kauli kuwa MVIWATA hawapashiwi kuwa wapambe wa kusifia eti kuupiga mwingi etc etc

Time will tell!
Hivi vitu vimepangwa na siyo vya kubahatisha.
 
UVCCM wameanza kwa kusema Dr. Bashiru ajitafakari.

Kwangu mimi naona hata ubunge wanaweza kumnyanganya maana directly ame m-attack Samia kwa kauli kuwa MVIWATA hawapashiwi kuwa wapambe wa kusifia eti kuupiga mwingi etc etc

Time will tell!
Hakuna anaye juwa picha inachezwa ndani ya ccm but wengi watalia sana nikama watakuwa wamenasa kwenye mtego wa panya.... Huyu Bashiru muoneni hivi hivi... Ila hatahuyo anaye muita kiroboto ataenda piga magoti... Yaniiiiiiii🤐🤐🤐🤐🤐
 
Sisiemu kuna muda ukitumia mantiki sahihi kujenga hoja,unageuka kuwa adui 😂....

Kama walivyopindua nao watapindua ...

Mabaki ndio yatapeleka msiba

Kuimba kupokezana 😆
 
Arudi akafundishe chuo

Ikiwezekana ajiunge CUF apambane

Na ccm vizuri

Ova
 
Namchukia kwa mabaya aliyoyafanya,
Bashiru hakutimiza wajibu kama chama kilivyomtaka,
Bashiru alitekeleza matakwa ya muhuni mmoja aliyepatapo kushika hatamu... yeye pia namchukia hata baada ya sasa!!
Basi ndio majukumu ya kichama aliyopewa.
 
Dr Bashiru ni freemind, hategemei hisani kama uvccm. Ndio maana pamoja na kupewa ukatibu mkuu wa ccm na Magu ila bado alikuwa anaongea maneno yenye ukakasi mno dhidi ya ccm.
Balozi Bashiru anateseka utadhani hakua kiongozi mkunwa kwenye serikali hii hii tena ngazi ya juu sana
 
Dr Bashiru ni freemind, hategemei hisani kama uvccm. Ndio maana pamoja na kupewa ukatibu mkuu wa ccm na Magu ila bado alikuwa anaongea maneno yenye ukakasi mno dhidi ya ccm.
Naomba urudie tena neno free mind na umtaje huyo jamaa tena tusije kuanza kutolukuhesgimu kumbe mtoto alikuwa anachezea simu,free mind alieprint form moja ya uchaguzi?? Huyu alosema hataki cheo juu ya ukatibu mkuu?? Huyu aliye ua ndugu zetu kumvutia magu??
 
Kusema yenyewe kuwa hataki cheo cha juu tena ni uhuru wa mawazo na akili. We unaweza kumuambia bosi wako kwa hapa nilipofikia sitaki tena cheo?? Yaani vuta picha wewe hapo unamuambia bosi wako.
 
Katoa maoni yake aachwe! Maisha ya kupangiana hata cha kusema ni uzwazwa wa kiwango cha juu sana.

Kwanza aloanzosha hiki kimsemo cha anaupiga mwingi alitukosea sana.......
Ndio unalijua leo. Wacha wanyonshe kwanza yeye alisimamia udikiteta ndani ya chama na nje ya chama kwa mgongo wa Ccm mpya.

Asubiri Moto wake. Ya ndugai yanakuja we subirj
 
Back
Top Bottom