sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Huwezi jua sababu we ni wa mtandao. Nyie ndio wale siku ya uchaguzi unaamka na hangover kisha unafatilia uchaguzi kwenye mtandao.Tuliona wizi ule kwa macho, nije huko vichochoroni kutafuta ushahidi gani?