Dkt. Bashiru ata-survive consequences za matamshi yake?

Dkt. Bashiru ata-survive consequences za matamshi yake?

Tuliona wizi ule kwa macho, nije huko vichochoroni kutafuta ushahidi gani?
Huwezi jua sababu we ni wa mtandao. Nyie ndio wale siku ya uchaguzi unaamka na hangover kisha unafatilia uchaguzi kwenye mtandao.
 
UVCCM wameanza kwa kusema Dr. Bashiru ajitafakari.

Kwangu mimi naona hata ubunge wanaweza kumnyanganya maana directly ame m-attack Samia kwa kauli kuwa MVIWATA hawapashiwi kuwa wapambe wa kusifia eti kuupiga mwingi etc etc

Time will tell!
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
 
Huyu jamaa amepungukiwa he
Wameanza kumjadili kwenye vikao vya familiaView attachment 2421381
Huyu inawezekana amepungukiwa hekima.....mtu katoa maoni yake pasipo kuvunja sheria lakini anaanza kumtishia kwa kuandika vijembe vya kijinga.
Dr. Bashiru has taken such a conspicuous boldness because he is confident with his moral ethics and he is not a coward as he does to maintain his political position that is futile.
 
Huyo Bashiru hata wakimdhuru ni sawa tu, ili avune uovu aliousimamia kwa wote waliokuwa wanamkosoa Magufuli.

Hiyo 2025 unayosema ni kupoteza muda. Labda kama uongelee machafuko na sio box la kura. Magufuli alishatengeneza presidence ya kutoheshimu box la kura, na akasifiwa na waliofaidika na uhayawani ule. Hivyo 2025 mchezo utakuwa ni huohuo.
Yaani humu JF kuna mijitu mijinga kiwango mfano hakuna!
Dr. Bashiru huyu leo aitwe freemind? hiyo freemind ya Bashiru imeanza leo ama jana?
Kwamba watu mara hii wameshasahau ni huyu huyu aliyekuwa akiwatishia wapinzani kwa kauli zake ili tu apate kumkosha bwanaake mwendazake?
Si ni huyu na mwenzie slow slow walikuwa wakifadhili biashara haramu wa kununua wapinzani, kupitia vitendo vyao hivyo wakaumiza watanzania walio wengi kwa matukio ya kigaidi?
Akina Alphonce Mawazo wako wapi leo?
Aaakh....... wacha niishie hapa kwanza!!!!!
 
Huwezi jua sababu we ni wa mtandao. Nyie ndio wale siku ya uchaguzi unaamka na hangover kisha unafatilia uchaguzi kwenye mtandao.

Sina shaka na ninachokiongea. Uhayawani ule niliushuhudia kwa macho yangu. Usidhani ukipotosha ndio utaondoa ukweli. Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Yaani humu JF kuna mijitu mijinga kiwango mfano hakuna!
Dr. Bashiru huyu leo aitwe freemind? hiyo freemind ya Bashiru imeanza leo ama jana?
Kwamba watu mara hii wameshasahau ni huyu huyu aliyekuwa akiwatishia wapinzani kwa kauli zake ili tu apate kumkosha bwanaake mwendazake?
Si ni huyu na mwenzie slow slow walikuwa wakifadhili biashara haramu wa kununua wapinzani, kupitia vitendo vyao hivyo wakaumiza watanzania walio wengi kwa matukio ya kigaidi?
Akina Alphonce Mawazo wako wapi leo?
Aaakh....... wacha niishie hapa kwanza!!!!!

Hawa wajinga wakisikia watu wanasema watanzania ni wepesi kusahau, wanadhani ni kweli tunasahau.
 
Yaani humu JF kuna mijitu mijinga kiwango mfano hakuna!
Dr. Bashiru huyu leo aitwe freemind? hiyo freemind ya Bashiru imeanza leo ama jana?
Kwamba watu mara hii wameshasahau ni huyu huyu aliyekuwa akiwatishia wapinzani kwa kauli zake ili tu apate kumkosha bwanaake mwendazake?
Si ni huyu na mwenzie slow slow walikuwa wakifadhili biashara haramu wa kununua wapinzani, kupitia vitendo vyao hivyo wakaumiza watanzania walio wengi kwa matukio ya kigaidi?
Akina Alphonce Mawazo wako wapi leo?
Aaakh....... wacha niishie hapa kwanza!!!!!
Acha chuki za kijinga, Mawazo aliuwawa enzi za JK
 
Walipokaribia kumsulubisha walianza kumwita mshamba, na wengine kwa kiburi wakaitwa kamati ya maadili wakaenda lakini wakaishia ndani ya gari.

Huyu naona anafuata ya wale jamaa, je kuna mpango ulio njiani kutimizwa na katumwa na kundi lake? Tusubiri tuone.
 
Mbona JPM alikuwa anasifiwa na hakumsema? Why amseme Samia?

Double standard.. kama watammimina itakuwa haki yake
Kwa sababu kinachodaiwa mbolea inatolewa kwa wakulima ni uongo na ulaghai mtupu; hata shamba la CCM lenyewe kule Kidomole/Makurunge hali ni mbaya sio kama ilivyokuwa enzi za JPM lilishamiri vizuri
 
Kwa uhayawani aliowafanyia watanzania huyo Bashiru kipindi cha mwendazake hata huko kumuita Mbwa ni upendo tu kwake!
Hafai kulinganishwa na mnyama bora kama mbwa huyo mtu!!
Bashiru alitimitiza wajibu wake ndani ya chama kwa nafasi aliyopewa. Kama wanaccm walimkubali we ni nani umchukie.
 
JPM na SSH wametukosea na kiutudharau sana watu wa nyika ya kutangatanga kwa kumpa uwaziri NA&PE.
Jamaa akili ndoo sana mtu wa mipasho na mihemko, sasa hivi wizara anayo ongoza imekuwa ya ovyo sana.
JPM hakupenda mipasho lakini mwenye kupenda mipasho kamrejesha kwa hiyo lawama mpe wa sasa sio JPM
 
Bashiru alitimitiza wajibu wake ndani ya chama kwa nafasi aliyopewa. Kama wanaccm walimkubali we ni nani umchukie.
Namchukia kwa mabaya aliyoyafanya,
Bashiru hakutimiza wajibu kama chama kilivyomtaka,
Bashiru alitekeleza matakwa ya muhuni mmoja aliyepatapo kushika hatamu... yeye pia namchukia hata baada ya sasa!!
 
JPM hakupenda mipasho lakini mwenye kupenda mipasho kamrejesha kwa hiyo lawama mpe wa sasa sio JPM
Kama ambavyo ukitenda mema huishi kutajwa kwa wema na walio hai, ndivyo vivyo hivyo ukitenda mabaya hutajwa!!

Tutaendelea kumlaumu huyo chinja chinja sasa na hata baada ya sasa kwa vizazi na vizazi kutokana na ufedhuli wake.
 
Back
Top Bottom