Dkt. Bashiru awashangaa wapenda ‘Kazi na Bata’. Asema kauli hiyo inachangia kuzorotesha Uchumi

Dakitare kilaza.. hahaha...

Kazi tunafanya, na bata tunakula..
Kazi na dawa,
Kazi na bata..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashiru ndiye anakula bata kwa kufanya kazi nyepesi kupita kiasi. Mtu anatoka Dar anaenda songea na kuishia kufungua shina la wakereketwa alafu analala na vidosho hoteli ya kifahari kwa kisingizio cha kuimarisha chama, labda hajui maana ya kula bata, hama alimaanisha kula bata mzinga hau bata maji hau huyu wa kienyeji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wanataaluma wetu wanapopewa vyeo vya kisiasa ndipo wanatuonyesha uhalisia wao. Mi nilikuwa najiuliza miaka karibia sitini tangu tupate Uhuru bado tunaitwa dunia ya tatu. Lakini kwa ujio wa social media nimeelewa chanzo ni nini!
 
Bashiru alimsikia waziri wake katika hilo?
Na je yeye hapendi kazi na bata?
Akitoka kwenye ziara zenye msululu wa v8s hapati msosi mnono na hoteli nzuri ya kulala?

Hapati kinywaji baridi kupooza koo na kusindikizwa na upepo mwanana ufukweni?

Nyumba anayoishi haijazungukwa na ulinzi mkali,viyoyozi lukuki na wasaidizi kibao wa kazibali mbali za nyumbani

Tuseme ukweli tu,kazi na bata ndiyo maisha yanayopendeza,lakini kukandamiza kwa kigezo Cha maendeleo sio poa kabisaaa
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…