Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Chapeni kazi wacheni ujinga.
Hamna aliyesema watu wasichape kazi, bali watu wanachapa kazi na bata wanakula vilevile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chapeni kazi wacheni ujinga.
SawaHamna aliyesema watu wasichape kazi, bali watu wanachapa kazi na bata wanakula.
Wasinyonge ni watu wasiokula bataHello Katibu, usisahau taifa hili Lina watu wanaojiita Wanyonge na wanafurahia kujinadi hivyo.
Halafu mbona mwenyewe anakula?.Hizi ni akili za wapi ,hata wanaojifanya wasomi wamechanganyikiwa,hivi unaweza kufanya sitarehe huna pesa?tunaposema kazi na bata ufanye kazi kwa bidii upate pesa ukajifaliji.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]taifa la wajinga bwana ninyi ni taifa la wajingaUjumbe utakuwa muda huu unasomwa na mlengwa. Ni mzuri kwa kumalizia mwaka.
Sijapenda uliyoandikaDr yuko sahihi sana. Anachomaanisha hapa ni kuwa kipaumbele ni kujenga uchumi na sio kudumaza uchumi. Ukihubiri kazi na bata (sijuwi kama na yenyewe ni kauli mbiu), tafsiri yake ni kuwa ‘fanya kazi na kipato upatacho tumia kwa starehe’ (no saving). Sasa huu ni uchumi wa aina gani?
Nakumbuka wakati fulani tulipokuwa shuleni kuna msemo tulikuwa tunasema ‘work done equal to zero’ pale ikionekana mtu amejitahidi kufanya jambo fulani lakini hakuna matokeo, hili nalifananisha na kazi na bata, maana kipato unachopata unakitumia kwa starehe, kesho huna kitu. Tupige kazi, tupate kipato, and then we save for future investment!
Dr yuko sahihi sana. Anachomaanisha hapa ni kuwa kipaumbele ni kujenga uchumi na sio kudumaza uchumi. Ukihubiri kazi na bata (sijuwi kama na yenyewe ni kauli mbiu), tafsiri yake ni kuwa ‘fanya kazi na kipato upatacho tumia kwa starehe’ (no saving). Sasa huu ni uchumi wa aina gani?
Nakumbuka wakati fulani tulipokuwa shuleni kuna msemo tulikuwa tunasema ‘work done equal to zero’ pale ikionekana mtu amejitahidi kufanya jambo fulani lakini hakuna matokeo, hili nalifananisha na kazi na bata, maana kipato unachopata unakitumia kwa starehe, kesho huna kitu. Tupige kazi, tupate kipato, and then we save for future investment!
Mumuelewe aliyetoa huu msemo au kauli mbiu. Anasema watu wafanye kazi halafu wale bata - yaani wapumzike na kustarehe.Dr yuko sahihi sana. Anachomaanisha hapa ni kuwa kipaumbele ni kujenga uchumi na sio kudumaza uchumi. Ukihubiri kazi na bata (sijuwi kama na yenyewe ni kauli mbiu), tafsiri yake ni kuwa ‘fanya kazi na kipato upatacho tumia kwa starehe’ (no saving). Sasa huu ni uchumi wa aina gani?